Mungu wa Wachaga avunjwa

Mungu wa Wachaga avunjwa

Status
Not open for further replies.

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
CE31thmUIAE2dXC.jpg:large

Gazeti la Mwananchi la leo. Sasa sijui kama amemvunja 'Mungu' polisi binadamu watamkamataje. Nadhani mashitaka kama haya ndio tutegemee kwenye sheria hizi mpya mpya. hahaha, ..."umemfotoshopu mungu intentionally and unlawfully"
 
nimeshangaa sana kwa kweli tena wameweka tangazo na picha kabisa eti anatafutwa mmmh!! sijaelewa au ni typing error???
 
Wanamtafuta ili aje amjenge mungu au wanataka yeye awe mungu kwa kuwa ameua mungu wao?

Wana social studies, fanyeni kautafiti mtujuvye huyo mungu alipovunjwa ambapo sijui aliuawa ama alifanyiwa ulemavu, matatizo gani yanayosemwa yametokea hapo kijijini, yanayohusiana na mungu kuwa mgonjwa au marehemu?

Huyo binti anatisha!. Mungu amlinde wasije kumchinja.
 
miss chagga hebu kuja ufafanue kidogo hapa,huyo mungu alikuwa mwanamke au mwanamme?
itakuwa Mungu wa old moshi katika jamii yao ... itakuwa ni imani kama nyingine kiukweli naamini kila jamaii zina mila na miungu yao so yawezekana ni kweli kavunja huyo Mungu wao ila mkimuona naombeni muumrudishe kaharibu ibda kule old moshi uwiii
 
najua mizimu imenuna leo,mbege hainyweki
 
huyo mungu gani hana nguvu ya kumtress,,,hahaahaha, ni mara yangu ya kwanza nasikia hii,halafu siku hizi mbona wachaga wengi wameokoka hayo mambo yanatoka wapi
 
Wanamtafuta ili aje amjenge mungu au wanataka yeye awe mungu kwa kuwa ameua mungu wao?

Wana social studies, fanyeni kautafiti mtujuvye huyo mungu alipovunjwa ambapo sijui aliuawa ama alifanyiwa ulemavu, matatizo gani yanayosemwa yametokea hapo kijijini, yanayohusiana na mungu kuwa mgonjwa au marehemu?

Huyo binti anatisha!. Mungu amlinde wasije kumchinja.
hakuna scienytific hapo ni imani tu .. kwa kuwa waliamini hicho kitu sasa hakipo wanaamini kwa sababu hiyo
 
Ni sawa tu, akamatwe! Nikiingia kanisani nikakuta sanamu la bikra maria, au Yesu nikalivunja si jambo jema, ni sawa na mtu adhalilishe msahafu, au mtume kwa namna yoyote ile. Tuheshimu imani za wengine, huyo mungu yeye alikuwa anambana sehem ya kulala? alimkosea nini? Ana kosa, arudi aombe msamaha.
 
itakuwa Mungu wa old moshi katika jamii yao ... itakuwa ni imani kama nyingine kiukweli naamini kila jamaii zina mila na miungu yao so yawezekana ni kweli kavunja huyo Mungu wao ila mkimuona naombeni muumrudishe kaharibu ibda kule old moshi uwiii

Amen. Umenena sahihi mkuu.
 
Ni sawa tu, akamatwe! Nikiingia kanisani nikakuta sanamu la bikra maria, au Yesu nikalivunja si jambo jema, ni sawa na mtu adhalilishe msahafu, au mtume kwa namna yoyote ile. Tuheshimu imani za wengine, huyo mungu yeye alikuwa anambana sehem ya kulala? alimkosea nini? Ana kosa, arudi aombe msamaha.
Ni kosa tatizo tumekaririshwa Mungu kupitia taasisi ya kikikristo na kiislamu jambo ambalo si sahihi.. kuna Mungu wengi sana humu duniani.
 
Huyu mungu atakuwa wa dar ndo maana mafuriko hayaishi.
 
Amevunja sanduku la agano.
Aliyeandika amemvunja mungu alikosa maneno mazuri na sahihi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom