MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
- Thread starter
- #101
Itakuwa Mkono wa Chuma HuuKitu chenyewe mkopo ? Mmh ! Kweli kama Jk alitawala kwa fimbo,huyu sasa ni fimbo ya chuma
Itakuwa Mkono wa Chuma HuuKitu chenyewe mkopo ? Mmh ! Kweli kama Jk alitawala kwa fimbo,huyu sasa ni fimbo ya chuma
M-Makond-e au?Wanad'salaam wote wana mungu mmoja tu nae ndo mungu wao kuanzia maili moja hadi kupita magogoni hadi hadi kimbiji anaabudiwa na wote
Sawa mkuuAkisimama Utingo amesimama mungu xo jibu ni rahisi mpaka hapo.
Mungu mmoja muumbaji wa mbingu na Ardhi(Allah) bt kuna baina yetu binadamu tunavipa vitu au watu wengne uwezo wa Mungu(Kumshirikisha)Kwani unaamini kuna MUNGU wangapi??
AtakujibuKwani shetani anaishije?
Mbona M-Makond-e naye kajiita Mungu wa dariSalama,na kwa kuwa Mkuu naye anaishi Dar Basi itakuwa Mungu wake ni M-Makond-eMUNGU WAKE NI ALMIGHTY SOVEREIGN SUPREME CREATOR OF THE UNIVERSE . ..MILELE YOTE . .
[emoji1] [emoji1]mungu Makonda
Wapi hukoMbona pesa imetapakaa kila mahali, fanyeni kazi
Lejea uharamu wa kumshirikisha ALLAH pamoja adhabu/hukumu yake alafu urudi.Mungu mmoja muumbaji wa mbingu na Ardhi(Allah) bt kuna baina yetu binadamu tunavipa vitu au watu wengne uwezo wa Mungu(Kumshirikisha)
Hata asipotoa atapata za kutosha kwa LubuvaVp kura 2020 hautoi??