Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

mungu wake mzee wa kibiongo hahahhaaaaaaaaaaaaa..............natania ni rafiki ake tu
 
Anakubalika na watu wepi kama kila aliepo kushoto au kulia kwangu anasema hamkubali...watakuwa wanamkubali kwa uoga kwa sabab wanaogopa kutumbuliwa
Nimepitia Comment kwny page ya Malisa GJ,yaani mpka naona Giza Mbele maana c mitazamo ile ya wavuja jasho walivochoka
 
Habarini za jioni wanaJF,poleni na majukumu ya kila iitwayo Leo.
Nimepitia comments nyingi zimuhusuzo Raisi wetu Ndgu.Pombe John,hakika watu wameonyesha hasira za dhahiri kwa kuchoshwa na uongozi wake.
Wengine wamefikia kutamani bora waishi kama Palestine kwenye vurugu na vita kuliko Tanzania.
Nachelea kuuliza je,Mungu wa Raisi wetu ndiye Huyuhuyu tumuabudiaye?Na mbona watu wa rika na kada zote wamlalamikie Raisi wetu yeye haoni tatzo hilo.?
Je,wewe una maoni gani kuhusu uongozi na maamuzi yake kwa ujumla?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mimi nadhani bila kumpata Dakitari JPJM, ili aiadabishe nji hii, nchi hii ingepotea kwenye ramani ya dunia kla mtu angesimama na kutamka jeuri anayoitaka yeye, hata mwizi alijiona kuwa na hak ya kulaumu kwamba hajaiba vizuri ameiba VIJISENTI tu au HELA YA MBOGA tu. Amepunguza sana rushwa, udanganyifu (a.k.a HEWA), wizi, ameongeza nidhamu ya kazi (hata kama ni ndhamu ya uoga), analipa ada, n.k, Mungu atupe nini..?!
 
Tutapona tu.Ningeshauli Kim jong..aongeze nguvu 40times
 
Jaman naomba kuuliza tofauti zilizopo kati ya Rais, kiongozi na mfalme!! [emoji15]
 
Leo katika habari nimeona watu wa Mwanza wanalia kilio siyo cha KAWAIDA,, eti kisa wamepigwa mabomu ya machozi, na wamefukuzwa katika eneo la kufanyia biashara zao....
 
Mungu asiejaribiwa ni mmoja tu, naskia ndgu yangu hajaribiwi.

Ngoja nimeze funda mbili za london kwanza.
 
Leo katika habari nimeona watu wa Mwanza wanalia kilio siyo cha KAWAIDA,, eti kisa wamepigwa mabomu ya machozi, na wamefukuzwa katika eneo la kufanyia biashara zao....
Haukufanikiwa kuchukuà Video Clip
 
Back
Top Bottom