Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,082 Reaction score 6,422 Apr 5, 2017 #41 Kama mtumbuaji anaoneshwa jipu, anapewa sindano, anapewa kila kitu na bado hatumbui. Legacy ya mtumbuaji kwenye utumbuaji imeshuka karibu kabisa na bashite(sifuri,zero,0)
Kama mtumbuaji anaoneshwa jipu, anapewa sindano, anapewa kila kitu na bado hatumbui. Legacy ya mtumbuaji kwenye utumbuaji imeshuka karibu kabisa na bashite(sifuri,zero,0)
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 16,101 Reaction score 24,358 Dec 13, 2018 Thread starter #42 cocochanel said: Bila kumuongelea Makonda ni kama hamuwezi kula. Kweli amewaweza wengi Hapa kazi tu Click to expand... Kazi tu wakati hali yako mbaya, hujui hata Christmas utavaa nini wewe na wanao, hali imekuwa ngumu unalia moyoni machoni unajifariji
cocochanel said: Bila kumuongelea Makonda ni kama hamuwezi kula. Kweli amewaweza wengi Hapa kazi tu Click to expand... Kazi tu wakati hali yako mbaya, hujui hata Christmas utavaa nini wewe na wanao, hali imekuwa ngumu unalia moyoni machoni unajifariji
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,173 Dec 13, 2018 #43 jaji mfawidhi said: Kazi tu wakati hali yako mbaya, hujui hata Christmas utavaa nini wewe na wanao, hali imekuwa ngumu unalia moyoni machoni unajifariji Click to expand... Ha ha ha haaaaaa Naona unatamani ndoto yako iwe kweli.. π€£π€£π€£π€£π€£πππ
jaji mfawidhi said: Kazi tu wakati hali yako mbaya, hujui hata Christmas utavaa nini wewe na wanao, hali imekuwa ngumu unalia moyoni machoni unajifariji Click to expand... Ha ha ha haaaaaa Naona unatamani ndoto yako iwe kweli.. π€£π€£π€£π€£π€£πππ