Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

E
Kilichotufurahisha ni hivii ndani ya Uwanja hamna mlichotuzidi. Labda power benki tu. 😂😂😂💃💃💃

Huku Mitandaoni ndio hatuko sawa kwani kwa jinsi mnavyopambwa mnaizidi hadi Liverpool Teh.
Ball possession uliiona?
Shot on target mtani uliziona?
Sijui mlituzidi nini embu nikumbushe
.
Mshukuruni sana yule mchawi wenu Kanda angewatengua kiuno
 
E

Ball possession uliiona?
Shot on target mtani uliziona?
Sijui mlituzidi nini embu nikumbushe
.
Mshukuruni sana yule mchawi wenu Kanda angewatengua kiuno
Unataka kunichosha sasa Mtani. 😎😎😎

Nionavyo tuzidi kuungana na OKW BOBAN SUNZU kuombea tukutane Zanzibar kukata mzizi wa fitina. Kikubwa nyie tufuateni msitukimbie. Tukifungwa na nyie fungweni, tukishinda na nyie shindeni. 😅
 
Fanyeni hivyo basi Mtani tuone kilichomtoa Kanga manyoya. Teh

Ila huwa unaniangusha Mtani. Hujui tu. 🤣🤣🤣🤣 Yaani mambo yakiharibika huonekani.
Tukipata fursa ya kukutana na nyie tena Mapinduzi Cup ndio mtajua kumbe kachumbari si mboga ni kitu tu cha kusaidia kulisha ugali 🤣🤣🤣
 
Tukipata fursa ya kukutana na nyie tena Mapinduzi Cup ndio mtajua kumbe kachumbari si mboga ni kitu tu cha kusaidia kulisha ugali 🤣🤣🤣
Hata tarehe 04 mliuaminisha umma wenu kwamba mtatoa kichapo kikali hatimaye mambo yakageuka.

Hivyo hii kauli yako hata siishangai Ses.
 
Back
Top Bottom