Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Yani nawataka kivyovyote bado naumia sana kuona natoa draw na vyura.
Oooh. Basi mufatishe tutakachokifanya kesho ili tuzidi kuwaumiza.
Mtani wakati huu tukikutana umeumia vibaya sana taka usitake
Hizi kauli muziwachage kwani mwisho wa siku huwa zinawaweka vichwa chini.

Mpira unachezwa uwanjani Mtani na sio hapa Jf kwenye Jukwaa la Sport ujue.
 
Oooh. Basi mufatishe tutakachokifanya kesho ili tuzidi kuwaumiza.
hizi kauli ndio zilifanya nichape mkono mwingi sana mtaani siku ile mnafurahia draw 😝

Hizi kauli muziwachage kwani mwisho wa siku huwa zinawaweka vichwa chini.

Mpira unachezwa uwanjani Mtani na sio hapa Jf kwenye Jukwaa la Sport ujue.
Tuna kikosi bora na cha gharama kuliko vyote Tanzania, tuna kila kitu ambavyo vilabu vingine havina ukiachilia mbali Azam fc (kwenye facilities tu)
.
Kudraw na nyie ni fedheha ndio maana nataka niwakate kauli tukutane tena nikunyooshe safari hii Manula hatumtaki arudi Azam fc.
Deogratius Kanda ndani, Meddy Kagere ndani, Ibrahim Ajib ndani, Francis Kahata ndani bila kumsahau Beno David Kakolanya yelewiiii mtani ukiokoka tena naenda kuvaa jezi yenu pale Jangwanj naita na vyombo vya habari😝
 
Hahahaaaa. Wabadilike hawa 5imba.
Oooh umezikumbuka nilizokunyooshaga enzi za marehemu Patrick Mutesa Mafisango ama kweli historia na ikumbukwe daima 😝😝😝
 
Sasa MK14 kashonea hirizi kwenye korodani...
 
hizi kauli ndio zilifanya nichape mkono mwingi sana mtaani siku ile mnafurahia draw 😝

Tuna kikosi bora na cha gharama kuliko vyote Tanzania, tuna kila kitu ambavyo vilabu vingine havina ukiachilia mbali Azam fc (kwenye facilities tu)
.
Kudraw na nyie ni fedheha ndio maana nataka niwakate kauli tukutane tena nikunyooshe safari hii Manula hatumtaki arudi Azam fc.
Deogratius Kanda ndani, Meddy Kagere ndani, Ibrahim Ajib ndani, Francis Kahata ndani bila kumsahau Beno David Kakolanya yelewiiii mtani ukiokoka tena naenda kuvaa jezi yenu pale Jangwanj naita na vyombo vya habari😝

KABLA HUJATOA AHADI NZITO ZAIDI HEBU JIPOZE NA HII MTANI. 😀
 
Hivyo yani
Screenshot_20200108-194040.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali Mtani umekuwa mbunifu katika kutaka kujisahaulisha. 😂😂😂
Endelea kuzikumbuka bila yule mchawi wenu kuingia uwanjani zilikuwa zinajirudia bahati mbaya tuna pazia golini
 
Back
Top Bottom