MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Nakuombea uvuke salamaDah huu mwaka sitoboi asee
Yani naziona 6 feet hizi hapa live kabisa bila chenga!
Mambo ni mengi mengi mno : Yameniandama!
Lord have Mercy!
Amina Amina
AminaMungu atakuonyesha njia pasipo njia...
Sina ushauri zaidi ya huu: Pray.Dah huu mwaka sitoboi asee
Yani naziona 6 feet hizi hapa live kabisa bila chenga!
Mambo ni mengi mengi mno : Yameniandama!
Lord have Mercy!
AmenSina ushauri zaidi ya huu: Pray.
Mungu na anisaidie kutimiza kusudio lake katika maisha yanguMkabidhi Mungu njia zako naye atazithibitisha. Otherwise kinywa kina nguvu ya uzima na Mauti.
Thankspole sana mungu n mwema atakuvusha mkuu pole sana
In the darkest hours of time.. There is always a twinkle of light to lead you through...!!!Mungu atakuonyesha njia pasipo njia...
Ni kweli kinywa kina nguvu...Mkabidhi Mungu njia zako naye atazithibitisha. Otherwise kinywa kina nguvu ya uzima na Mauti.
Dah hata sielewi Ndugu yangu. Sijui NIMEMKOSEA nini MUNGU KIKUBWATatizo nn mkuu?
Mungu hawezi kamwe kutupa jaribu kutuzidi uwezo wetu.. Na daima huwa hafungi milango yoteSina ushauri zaidi ya huu: Pray.
Let the will of God be doneIn the darkest hours of time.. There is always a twinkle of light to lead you through...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
NITATOBOA [emoji24]Ni kweli kinywa kina nguvu...
Usikiri kuwa hutoboi...
Kataa sema nitatoboa...