Mungu ni mwema

Mimi ni mgeni JF.Naomba mnipokee.
Karibu sana JF

Kuna utaratibu mpya wa kupata goldtick, hii n tofauti na wale wenye bluetick.
Hii goldtick inakupa uwezo wa kufuta mada zako, kufuta comment za wengine kwenye mada yako, pamoja na uwezo wa kuwa-ignore mods n.k

Ili kupata hii goldtick, inabidi ulipie mara mbili kwa mwaka au mara moja kwa Tsh 100k miezi sita ya kwanza na 50k miezi sita inayobakia.

Karibu PM kwa maelezo zaidi na namna ya kulipia goldtick yako.
 
Nashukuru sana.Mimi kwa ufupi,nimekuelewa.Sasa tukija kwa urefu,naomba uniwekee mawimbi halisi ambapo radio-call yako inapatikana vema nikurushie hicho kianzio cha 100k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ