CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,440
tusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
kwa uwezo wa Roho MtakatifuUmejuaje
Amentusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
🚮🚮🚮kwa uwezo wa Roho Mtakatifu
Kuomba au kusali? Tusijipiganie tuombee tuuuu?😁😁tusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
Karibu sana JFMimi ni mgeni JF.Naomba mnipokee.
Nashukuru sana.Mimi kwa ufupi,nimekuelewa.Sasa tukija kwa urefu,naomba uniwekee mawimbi halisi ambapo radio-call yako inapatikana vema nikurushie hicho kianzio cha 100k.Karibu sana JF
Kuna utaratibu mpya wa kupata goldtick, hii n tofauti na wale wenye bluetick.
Hii goldtick inakupa uwezo wa kufuta mada zako, kufuta comment za wengine kwenye mada yako, pamoja na uwezo wa kuwa-ignore mods n.k
Ili kupata hii goldtick, inabidi ulipie mara mbili kwa mwaka au mara moja kwa Tsh 100k miezi sita ya kwanza na 50k miezi sita inayobakia.
Karibu PM kwa maelezo zaidi na namna ya kulipia goldtick yako.
Karibu PM mkuu mana kila memba anayehitaji goldtick anakuwa Na namba yake maalum ya kulipiaNashukuru sana.Mimi kwa ufupi,nimekuelewa.Sasa tukija kwa urefu,naomba uniwekee mawimbi halisi ambapo radio-call yako inapatikana vema nikurushie hicho kianzio cha 100k.
Haina hatari.Naamini hizo namba zitakuwa na mfanano wa control numbers!Karibu PM mkuu mana kila memba anayehitaji goldtick anakuwa Na namba yake maalum ya kulipia
Karibu PMHaina hatari.Naamini hizo namba zitakuwa na mfanano wa control numbers!
Asante sana.Karibu PM
Huku ni kujifariji kwa fisi. Kufikiri kuwa mkono wa binadamu unavyotikisika basi u karibu kidondoka.tusivchoke kuomba tutasikilizwa musa si mrefu
Eti Nini?!musa si mrefu
Nitachekaaa siku nitakaposikia umeokoka mkuu! 😂😂.