Mungu ni mmoja na hajaribiwi

Mungu ni mmoja na hajaribiwi

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,582
Reaction score
7,249
Mnamo tarehe 1 mwezi huu wa tisa kulitokea kupatwa kwa jua, watalaam wa mambo ya kidunia walitabiri hili swala na kujionyesha wajuaji zaidi walitabiri mpaka muda na sehemu pia.

Lakini nimeshindwa kuelewa hawa wanaojiita wanasayansi mbona hawakutuambia kuhusu tetemeko la ardhi kwamba litatokea lini na wapi na muda pia?
Nadhani sasa ni wakati wao kuamini MUNGU yupo.
 
Mnamo tarehe 1 mwezi huu wa tisa kulitokea kupakatwa kwa jua, watalaam wa mambo ya kidunia walitabiri hili swala na kujionyesha wajuaji zaidi walitabiri mpk muda na sehemu pia,
lakini nimeshindwa kuelewa hawa wanaojiita wanasayansi mbona hawakutuambia kuhusu tetemeko la ardhi kwamba litatokea lini na wapi na muda pia?
nadhani sasa ni wakati wao kuamini MUNGU yupo.
kwani mara ngapi hata watabir wametuongopea,anakwambia hivi,matokeo yanakuwa vile
 
lakini nimeshindwa kuelewa hawa wanaojiita wanasayansi mbona hawakutuambia kuhusu tetemeko la ardhi kwamba litatokea lini na wapi na muda pia?
nadhani sasa ni wakati wao kuamini MUNGU yupo.

Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?

Au kalisababisha yeye?

Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
 
wewe umeshatajwa ni mmoja kati ya watu wabishi sana humu, swali kwanini mlishindwa kutabiri kama mlivyotabiri kwenye jua?

Tulishindwa na nani?

Uliambiwa tunajua kila kitu?

Mungu wenu muweza wa yote, mwenye upendo, na aliyepo kila sehemu mbona kashindwa kulizuia tetemeko lisitokee leo?
 
Hii argument yako ni very mediocre kiasi kwamba najiskia aibu kuwepo jamiiforums na low mind person like you... !

Shame on me.. ! [emoji29] [emoji29] [emoji29]
sawa sio lazima unaweza ukapita maana kwa ilichokiandika nimeshajua ni mtu wa aina gani
 
Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?

Au kalisababisha yeye?

Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
Nyani Ngabu umenikumbusha kuna rafiki yangu juzi nilimwambia amuombe Mungu akasema bora aniombe mimi huyo Mungu hajui atamuona wapi? Hapo nikaondoka mwenyewe sikai na watu wenye kejeli na Mungu. Nakuja na suali lakini nageuza upande. Kwahio unamaanisha hakuna Mungu ndio maana hata Yesu akafikia kusulubiwa kutokana hajapata msaada kutoka kwa Mungu?
 
Back
Top Bottom