Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,262
Umelazimishwa au kushikiwa fimbo kumfuata Mungu ambaye umuamin achana naye mkuu kwanin uteseke, sis wengine tutaendelea kumuaminView attachment 2453049
Ngoja nikutafsirie hii kwanza😂.
Musa akamwambia mungu, "kwanini unanifanyia hivi, kipi nimekufanyia kibaya hadi unitende hivi?,, Hivi hawa(waisrael),nimewazaa mie, Je mimi ni mama yao, kwa nini unanitupia majukumu yasiyonihusu? Yaani unataka mimi niwabebe hawa watu kana kwamba mimi ni housegali, yaani niwapeti peti mpaka nchi ya ahadi, uliyowaahidi babu zao,,
Eti niwape nyama, mimi nitapata wapi nyama za kuwapa watu wote hawa?,,
Mie siwezi bana, THIS IS TOO MUCH,,, kama hivi ndo umepanga kunifanyia, NI BORA UNIUE TU,, 🙆♀️,NIMECHOKA, NIUE,, "
MUNGU akasema,"................
Tusipoteze mda wewe humuamin Mungu hujashikiwa fimbo kumuamin kuwa muislamu, muhindu, butha au hata mpagani, life is too short kwanin uteseke kwa sehemu ambayo umeshapoteza Iman nayoHujaona vifungu hapo juu?, Tukileta ya kiswahili ukali wa maneno unapungua,, ngoja ntakutafsiria nikipata mda
Ukiwasoma Gnostic wanaami hivo kuna Mungu anayetawala dunia hii ambaye ameumbwa na Mungu mkuu Sophia kwa wale wanao soma vitabu vya Gnostic au vya David icke wanaelewaUkisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye, wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee; 2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto). Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746.
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa... Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa n.k.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu, Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
Hii dhana ya kukufuru bila shaka ilianzishwa ma waroma walipopata mapingamizi kutoka ndani ya kanisa kanisa likiwa mojaDhambi ya Kumkufuru Mungu, hata ufanyeje, Huwa ni yamelele, Haina msamaha!!.
Mie ni budha🤷♂️Umelazimishwa au kushikiwa fimbo kumfuata Mungu ambaye umuamin achana naye mkuu kwanin uteseke, sis wengine tutaendelea kumuamin
Bosi mie siteseki, hapa tunaongea tu na kuvuta mda uende tusinzie🤷🏼♂️,actually last time kuingia nyumba ya ibada 1994Umelazimishwa au kushikiwa fimbo kumfuata Mungu ambaye umuamin achana naye mkuu kwanin uteseke, sis wengine tutaendelea kumuamin
We jamaa umeacha kuingia kanisan 1994 almost 28 years lakin mpaka Leo umeweza ku-quote biblia alafu unadai sio mkristo au ufuatilii ukristo kadanganye watu wengineBosi mie siteseki, hapa tunaongea tu na kuvuta mda uende tusinzie🤷🏼♂️,actually last time kuingia nyumba ya ibada 19
Mimi ni mwanahistory, chochote kinachohusiana na history ya mwanadamu, tangu day one, nafuatilia,, hivyo nafuatilia hindu, christian, islam, budha, technology, ujenzi, ushonaji, ukulima, ufugaji,food processing, engineering, wars, politics, geography, chemistry, industries production, electricity, relationships, crime, etc,,We jamaa umeacha kuingia kanisan 1994 almost 28 years lakin mpaka Leo umeweza ku-quote biblia alafu unadai sio mkristo au ufuatilii ukristo kadanganye watu wengine
Umwamin Mungu alafu bado unasoma doctrine yake, huwez fuatilia jambo kama halijakuvutiaMimi ni mwanahistory, chochote kinachohusiana na history ya mwanadamu, tangu day one, nafuatilia,, hivyo nafuatilia hindu, christian, islam, budha, technology, ujenzi, ushonaji, ukulima, ufugaji,food processing, engineering, wars, politics, geography, chemistry, industries production, electricity, relationships, crime, etc,,
Kila kitu chini ya jua🤷🏻♀️
Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Navutiwa na kila kitu, lakini haina maana nafuata,, naweza vutiwa na engineering, haina maana sasa ndo nimekua fundi makanikaUmwamin Mungu alafu bado unasoma doctrine yake, huwez fuatilia jambo kama halijakuvutia
Ulichoongea ni kweli pata shida utajikuta uko mwamposa au sumbawanga kwa mganga flani, ukiwa mzima wa afya na huna shida unaweza tukana kila mtuUkiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Mambo ya spiritual ni tofauti na engineering huwezi fanya hata comparison, kumfuata au kusoma maandiko ya Mungu ni swala spiritualNavutiwa na kila kitu, lakini haina maana nafuata,, naweza vutiwa na engineering, haina maana sasa ndo nimekua fundi makanika
Self control,, ina maana hauna self control,, kama unajijua, utajua kuwa matatizo ni sehemu ya maisha, magonjwa, vifo ni sehemu ya maisha,, kama huna self control na hauna self awareness, then ukipata shida badala ya kusaka solution ndo utakimbilia kwa mwaposa,,Ulichoongea ni kweli pata shida utajikuta uko mwamposa au sumbawanga kwa mganga flani
Niko interested na sprituals, historically,, sasa umekuja duniani kufanya nini kama hata unachoabudu, hujiangaishi kukifuatulia kimeanza vipi?,,Mambo ya spiritual ni tofauti na engineering huwezi fanya hata comparison, kumfuata au kusoma maandiko ya Mungu ni swala spiritual
Mim huwez nikuta naangaika na uislmu, Hindu au budha sababu am not interested