Mkuu ni muda sasa unalazimisha watu waamini unachoamini,kama vile umetumwa ufanye recruitment. Nikuhakikishie imani haiko hivyo,na jaribu kuheshimu imani za watu pia.Kwanza kabisa unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Wakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.
Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.
Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.
Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.
Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.
Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.
Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.
Karibuni mnisaidie JF family.
Mkuu hata mimi hii hali ninayo kwa sasa. Ninapata shida sana kuamka asubuhi na kwenda kibaruani na kuna wakati natamani hata kuacha kazi but kila nikikumbuka msoto wa kitaa najilazimisha kiaina. But nimekuja gundua ni kwa sababu kazi yangu ni too demanding na likizo sipati ya kueleweka na nikiipata likizo sipumziki nakimbizana na ishu za kijamii. Nakushauri kama unaweza kupata likizo ndefu like mwezi chukua fasta ukapumzike kweli kweli utapata reliefWakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.
Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.
Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.
Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.
Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.
Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.
Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.
Karibuni mnisaidie JF family.
Ni maswala ya ndoa, unapaswa kuoa ndicho anachokumbia Mungu. Pia omba kila siku kabla ya kulala kuna shambulio la kiroho usiku na ni kutoka kwa roho inayotaka kuchukua nafasi ya mkeo ajaye. Maombi ya kweli yatakusaidia.Wakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.
Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.
Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.
Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.
Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.
Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.
Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.
Karibuni mnisaidie JF family.
jaribu kufungwa swaumu siku sabaWakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.

Do you understand the word exists....?Kwanza kabisa unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Exists where?Do you understand the word exists....?
For example when I say God exists, what do you understand about that?
Mkuu kwa nini unakua lonely?je una miaka 35-45 hawa huwa wanapitia kitu kinaitwa 'mid life crisis' huu umri ndio watu huwaza kama wamefanya right career choice ..if they have right and supportive partner and whether kupata familia kumewafanya wawe na furaha...sasa kama kuna mahali wanaona hawafurahii choices walizozofanya then wanakua 'depressed' ..dalili ni kama zako..kuto enjoy 'normal things' ulizokua unafanya kama kufika kazini na kufanya unayotakiwa kufanya kazini...na dalili nyingine ni 'avoidance' huku kuspend more time on social media ni ku avoid reality...vitu unaweza kufanya moja,kutembelea kituo cha magonjwa ya akili kupata tiba ,pili ni kuchunguza wapi which area of your life your are not happy with and then work on it..kila la kheri...
Hali hii hunipata pia.Hali kama mfadhaiko,kuwa down sanaaa like nakata tamaa,like nakuwa napata mafundisho.
Ambacho huwa nafanya ni kukaa ndani peke yangu kwa muda mrefu sn bila kuwasha screen Wala data.Kama ni maumivu nayaacha yaniingie vilivyo.Kama ni kukwama nawaza ni kwa nini nimekwama na nani chanzo.Kisha huwa naamua KUPAMBANA mpaka tone la mwisho ktk kila kitu kinachonikabili.
NEVER GIVE UP.
siku ukituambia tumetokeaje bila kutuuliza kwani huyo mungu katokeaje tutakuaminiDhana hii inathibitisha Mungu hayupo.
Angekuwepo, kungekuwa hakuna mjadala kuhusu kuwepo kwake.
Kila mtu angeelewa na kukubali kuwepo kwake bila mgogoro. Bila mahubiri, bila msahafu wala tafsiri. Angeweka habari zake zote kwenye DNA kila anayezaliwa azijue bila hata kufundishwa.
Yani iwe hata ukipotea porini huna msahafu, DNA yako ina habari zote za Mungu huhitaji msahafu.
Kuwapo kwa migogoro kwenye imani ya Mungu, si tu kati ya wanaoamini Mungu yupo na wasioamini, bali pia miongoni mwa wanaoamini wa dini mbalimbali, na hata madhehebu mbalimbali katika dini moja, kunaonesha Mungu hayupo, ni hadithi za watu tu
Hivi kweli Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote awepo, halafu aachie watu wauane kwa sababu hawa Shia na hawa Sunni, au hawa Wakatolili na hawa Waprotestanti, au hawa Mahayana na hawa Theravada, au hawa Wahindu na hawa Waislamu?
Mnakubali kabisa Mungu yupo? Kashindwa hata kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kuuana kwa jina lake tu, tujue jina lake takatifu?
Kwani nani kasema nataka uniamini?siku ukituambia tumetokeaje bila kutuuliza kwani huyo mungu katokeaje tutakuamini
Okoka Mpe Yesu maisha yako ili upate kujua kumwachia Mungu fadhaa zako na yeye atakupa AMANI ya kweli. Faraja ya mtu anapewa na Mungu sio mwanadamu awaye yeyote ;Mke au MumeWakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.
Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.
Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.
Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.
Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.
Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.
Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.
Karibuni mnisaidie JF family.
Wote ni element ya maji mawazo yao yanafananaHuyo ni cancer