Mungu najua ananitaarifu kuhusu jambo muhimu ila naona simuelewi

Mkuu kwa nini unakua lonely?je una miaka 35-45 hawa huwa wanapitia kitu kinaitwa 'mid life crisis' huu umri ndio watu huwaza kama wamefanya right career choice ..if they have right and supportive partner and whether kupata familia kumewafanya wawe na furaha...sasa kama kuna mahali wanaona hawafurahii choices walizozofanya then wanakua 'depressed' ..dalili ni kama zako..kuto enjoy 'normal things' ulizokua unafanya kama kufika kazini na kufanya unayotakiwa kufanya kazini...na dalili nyingine ni 'avoidance' huku kuspend more time on social media ni ku avoid reality...vitu unaweza kufanya moja,kutembelea kituo cha magonjwa ya akili kupata tiba ,pili ni kuchunguza wapi which area of your life your are not happy with and then work on it..kila la kheri...
Nimekupenda sana kwa ushauri mzuri, ubarikiwe sana Mama kwa hekima zako.
 
Upepo, hewa, sauti, akili vilitokea/vilianzia wapi uwepo wake?
Popote vilipoanzia, havikuanzia kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote.

Vingeqnzia huko, upepo kwa mfano, usingekuwa na uwezo wa kuua watu nankuleta madhara, kwa kuwa Mungu huyo anasemwa ananm upendo wote, angeupa breki upepo usifanye madhara.

Hewa isingepitisha vididu vinavyosababisha magonjwa, angefanya magonjwa yanayopitia hewani yasiweze kupitia hewani na kusababusha madhara.

Angefanya sauti isisumbue watu wasiotaka kusumbuka nayo, wewe uweze kupiga mziki wako kwa sauti kubwa na jirani yako asiyetaka kuisikia asiisikie, muqzini wa msikitini aweze kuazini kwa sauti kubwa na wasiotaka kumsikia wasimsikie, wanaotaka kumsikia tu wamsikie.

Akili ingetokea kwa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, kila mtu angekuwa na majibu, angalau kumhusu Mungu, kungekuwa hakuna mjadala kama Mungu yupo, kwa sababu kila mtu angejua kwa uhakika kwamba Mungu yupo.

Ulimwengu kuwa si kama nilivyoeleza hapo juu ni ushahidi kwamba vitu hivyo ulivyoviulizia, upepo, hewa sauti na akili, popote vilipotokea, vyovyote vilivyoanza, havikuanza kutoka kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Tunaweza kujua jibu moja si sahihi, hata kama hatujui jibu sahihi ni lipi.

Mtu akisema Washington DC ni mji uliopo Marekani tu. Na Tanzania ina mji mkuu uliopo Tanzania. Hata bila ya kujua mji mkuu wa Tanzania ni mji gani, naweza kujua kwamba Washington DC hauwezi kuwa mji mkuu wa Tanzania, kwa sababu ni mji ambao haupo Tanzania.

Sasa wewe hapo umeniuliza mji mkuu wa Tanzania ni mji gani. Pengine siujui. Lakini, najua kwamba wanaokuja na hoja kwamba mji mkuu wa Tanzania ni Washington DC, hoja yao ina makosa, kwa sababu ili mji uwe mji mkuu wa Tanzania, inabidi uwe ndani ya Tanzania.

Umeniuliza sauti, upepo, akili na hewa chanzo chake ni nini, naweza kusema sijui kufupisha mjadala mrefu wa kisayansi, lakini, naweza kukuambia kwamba vitu hivi havijaanza kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote.

Kwa sababu upepo unaoua kuanzishwa na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ni cintradiction.

Pia ni contradictiin kwa Mungu huyo kuumba hewa inayopitisha magonjwa.

Pia ni contradictiin kwa Mungu huyo kuumba sauti inayoweza kubughudhi watu.

Pia ni contradiction kwa Mungu huyo kuumba akili ambayo watu wengi wanakosa hata ya kuweza kuthibitisha uwepo wake bila mgogoro.

Hapo utaona habari za kuwepo kwa Mungu ni hadithi tu.

Naweza kuonesha Mungu hayupo, bila hata kuonesha chanzo cha akili ni kipi.

Naweza kuonesha Washington DC si mji mkuu wa Tanzania, hata kama sijui mji mkuu wa Tanzania ni mji gani.
 
Siasa + usanii + mawazo hasi yatokanayo na utofauti wa uwepo mabaya duniani ndicho kinachopelekea ulazimishe nyeupe kuwa nyeusi ambapo hatimaye ni kupata jibu la kifizikia "work done is equal to zero"

Bado hujathibitisha uwepo au kutokuwepo kwa akili zako, hewa, upepo, sauti kimwonekano sababu hukuumbiwa upeo wa kuona hivyo vitu na siku utanijibu vyema ndipo utapojishindia ubishi wako wa kutokuwepo kwa Mungu muweza wa vyote.
 
*Hujui uliumbwaje umbwaje

*Hujui kwanini we unatembea kwa miguu na kwanini huwezi kupaa ilihali viumbe hai vingine hupaa angani(ndege hai)

*Hujui lini utafanikiwa

*Hujui lini utafilisika

*Hujui lini utaumwa na aina ya ugonjwa utaoumwa

*Hujui lini utapatwa na majanga kama ajali ipi na aina gani ya kifo kitachokuua

*Hujui chanzo cha kifo ni kipi

*Hujui na kamwe hautaweza kujua jinsi ya kuzuia kifo.

*Hujui maisha yako ni yapi baada ya kifo yatakuwaje

*Huwezi zuia vyanzo vya uharibifu wa afya yako kimaisha kama earth quakes, floods, volcano eruption, vimbunga, tufani dhoruba.

NIMEKOMEA HAPO, UKITAKA NIKUONGEZE HATA MASWALI 100 YAPO KUKUTHIBITISHIA UWEPO WA MUNGU, YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO MILELE ZOTE AMINA.

Unalazimisha kwamba, kwa kuwa sijakutajia mji mkuu wa Tanzania, basi mji mkuu wa Tanzania ni Washington DC.

Hata kama tunajua kwamba Washington DC haipo Tanzania na hivyo haiwezi kuwa mji mkuu wa Tanzania.

Mimi hoja yangu ninkwamba Washington DC si mji mkuu wa Tanzania. Sijaja na hoja ya kusema najua mji mkuu wa Tanzania ni upi.

Sasa unalazimisha kusema kwa kuwa sijui mji mkuu wa Tanzania ni upi, basi Washington DC ninlqzima uwe mji mkuu wa Tanzania.

Hoja yako ina fallacy.

Unanilazimisha niende kwenye mjadala ambao sijasema lolote kuhusu huo, na mjadala niliosema lolote kuuhusu unaukwepa.

Habari ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote ni uongo.

Ndiyo maana kuna magonjwa ya kuambukizwa kwa hewa. Ndiyo maana kuna watu wana magonjwa ya akili. Ndiyo maana kuna viziwi wasiosikia sauti. Ndiyo maana kuna vimbunga vinaua watu.

Mungu huyo mnayemsema yupo angekuwepo, hayo yote yasingekuwepo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo
 
Pa1 na kuhangaika kwako kote huko lakini hujafikia hata 0.0001% kwa kumpinga Mungu kama alivyokuwa Sauli tena akiua wahubiri wake wakuu ambapo baadaye alikiri na kuwa Nabii.

Jitahidi kuendelea kupinga uwepo wa Mungu hadi siku atapokutokea yeye mwenyewe machoni pako ndipo uridhike maana wakati mwingine Mungu huwaacha Watu kama ninyi ili muwe ushuhuda mzuri juu ya ukuu wake.

Mifano yako ni bandia na wala haiendani na maswali husika niliyokuuliza.

Mungu akusaidie ili usije kukosa ufalme wa mbinguni katika maisha bora yasiyokuwa na tabu, njaa, magojwa wala vifo.
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Wakuu njooni mnisaidie kwenye hali hii inayonitatiza.

Siku za hivi karibuni nimekua nikipitia hali flani ambayo Siwezi kuitafsiri vyema na hivyo kupelekea kushindwa kuchukua hatua yoyote.

Kifupi ni kuwa, nimekua nikipatwa na hali ya uzuni na mfadhaiko moyoni kila niamkapo kitandani asubuhi. Hali hii uendelea mpaka mida ya sita mchana, kisha upotea kidogo.

Kutokana na hali hii nimekua nikichelewa kazini, na Sina drive ya kazi na passion ya maisha inapotea.

Mimi ni mpenzi wa social media, nina rafiki kadhaa na wengi ni she. Mara nyingi nikiwa down Ila akitokea mmoja akinipa campany nzuri mood yangu urudi kwa kasi. Lakini mbinu hii imeshindwa kabisa kunitosheleza kuondoa hisia ya uzito wa moyo ninayoipitia recently.

Nimekua najiuliza maswali nisiyokuwa na majibu nayo. Wakati mwingine nadhani Mungu ana-communicate na mimi ila nahisi nimeshindwa kupambanua anataka kunipa ujumbe gani maishani mwangu.

Wakuu ikiwa umewahi kupitia hali hii please nakaribisha uzoefu wako kwenye hili.

Karibuni mnisaidie JF family.
Anza kusikiliza nyimbo za kusifu na kuabudu! Tumia muda wako mwingi kuutafuta ukaribu na YESU! Pia maombi yako yaelekeze katika kutubu na kujenga ukaribu na MUNGU! Epuka kuanza na maombi ya miujiza, kulipiwa kisasi ama kuwaombea wengine mabaya! “ MPINGENI SHETANI NAYE ATAWAKIMBIA”
 
Umekikosa au umejilazimisha kukataa kitu unachokipenda.Mwenyewe unadhani kama yameisha lakini kumbe nafsi yako haijaridhishwa na maamuzi iliyochukuwa.. Bado kuna mvutano wa kimaamuzi kati ya akili yako na nafsi yako. Wewe upo upande wa akili yako hivyo nafsi inajalibu kukushawishi kwa njia hiyo... Hata hivyo zipo sababu nyingine
 
Una msongo wa mawazo tafuta msaada nenda kake na watu physically hizi nadharia za humu na social media sio uta tatizo la afya ya akili
 
Back
Top Bottom