fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,023
- 5,000
Mungu hawezi kukuletea ujumbe halafu usiuelewe Maana yake huyo Mungu amefeli,alitaka kukufahamisha Jambo Ila ameshindwa akufahamishe vp maana hukamuelewa mpaka Hapo huyo sio Mungu so futa kabisa hizo habari za Mungu kukuletea maono.hiyo Hali inatokea tu unapokua haupo sawa kwenye mindset yako labda huna hela ,umepigwa kibuti ,una ugomvi na ndugu au rafiki flani ,umekosa kitu flani nk nk nk.tafuta pesa mkuu Mambo yote yatakaa sawa