Mungu na ulimwengu

Kapo Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
1,000
Reaction score
292
Wakuu ni jambo la heri kumtukuza MUNGU,alitoa upendeleo zaidi kwa wanadam kuliko viumbe wengine,lakini mara nyingi wanadam tunamkwaza kwa matendo yetu maovu.

Mungu anao uwezo wa kufan ya lolote na kumaliza jeuri na kiburi cha binadamu pia kama maandiko yasemavyo katika Biblia-Takatifu,tujiulize na kutafakari kabla ya uumbaji wa ulimwengu na viumbe hai MUNGU aliumba na kuishi na nini,je anao uwezo wa kuangamiza ulimwengu mzima
 
Nani amekudanganya kuwa wanadamu tumependelewa?
Dunia hii ya mateso na shida ina upendeleo gani?
 
A soul..energy... Once created can neither be destroyed, it can only be transferred.

Thus we will exists for million of years..we are immortal divine energy.
A soul...! Once created can never be destroyed

"Behold all souls are mine, as the soul of the father, so the soul of the son is mine, the soul that sinneth, it shall die"-Ezekiel 18:4
 
Tunasubiri Recreation mkuu.
Bibilia Inasema Kilele cha Uovu wa Dunia hii Ni Kuangamizwa kwa Dunia hii yote. Ila watakao mwamini Yesu, na Kuacha Uovu Wataokolewa.
Hilo walilijua tangu wakina Ibrahimu enzi hizo dunia ikiwa bado bikrabikra haijanajisika sana.
Bibilia inasema Ibrahim aliishi kwenye hema huku akili yake ikiutazamia Mji ambao misingi yake haijajengwa na mwanadamu.
Mwanadamu anayejitambua hawezi kuweka kambi katikati ya jalala. Hapa tunapita tu mkuu.
 
Ulimwengu ni mkubwa kuna viumbe wengine usijidanganye ati binadamu ndiye ana akili wakati ameshindwa hata kutoka inje ya sayari yakeView attachment 805757
Hawezi kutoka nje ya sayari yake sababj haiwezekani na haitokuja kutokea.

Pili ni viumbe gani wenye akili kuliko binadamu ?
 
Yapo mambo ambayo huwa tunajaribu kufuatilia kutaka kujua ukweli wake kiundani ila zaidi lakini kuna level watu huwa wanafika na kushindwa kuendelea kufuatilia mambo hayo na hiyo level ni level ya kiroho!

Wapo watu wachache sana ambao wanauwezo wa kuyatambua na kuyafafanua mambo ya kiroho na watu hawa huwa wanautambua ulimwengu wao wa kiroho, sipo upande wa mambo ya dini wala mambo ya ushirikina! Hapana! Mfano mzuri wa mtu ambaye naweza kumuelezea akiwa wa pili me nikiwa wa kwanza ni mshana Jr, ukifiatilia threads zake nyingi zimebase katika mambo ya kiroho!!

Katika hili mtu aliye katika ulimwengu wa kimwili na hajautambua vizuri mambo ya kiroho hawezi kukuelewa zaidi ya kubisha tu na ndo maana kuna baadhi ya mada zinazohusu mambo ya Uwepo wa Mungu huwa hakunaga muafaka zaidi tu ya kuongezeka kwa maswali kila linapojibiwa moja linazalisha lingine!!

So the truth is this anayeuelewa ulimwengu kiundani zaidi ni yule ambaye amekuwa aligned na ulimwengu huo wa kiroho majibu mengi yapo kwa watu ambao wanaoelewa vema ulimwengu huo na pia wenye uwezo wa kuchambua vema kiroho na kimwili pia mengine ni nadharia tuuu!
 
wasalaam,ni katika kukumbushana kuhusu Mungu anavyotusitiri ingawa twatenda maovu mengi sana. Maandiko katika Biblia Takatifu yatuasa ya kwamba shetani yu tayari kutubu akipewa nafasi hata sekunde moja bali kwa mwanadamu imekuwa ni vigumu kukiri na kumtumikia Bwana,ndipo tujiulize maksudi ya Mungu yanalenga nini kwa vizazi hivi vya wanadamu,walimwengu tumetawaliwa na tamaa za duniani hasa utajiri wa njia za mkato jambo amb alo ni chukizo kwa mwenyazi Mungu,ndipo tujiulize uumbaji wake alikusudia nin i kwa mwanadam au bila kutuumba wanadamu angepungukiwa nini, na kwa nini hao wazungu walitoa baadhi ya vitbu katika BIblia
 
hata hivyo MUNGU atabaki kuwa Mungu mwenye mamlaka dhidi yetu na kila kiumbe,tujikite katika uhalisia tuachane na unadhiria yamkini Mungu atatusamehe makosa yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…