Mungu mlinde Zitto Kabwe

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
Dunia inajua wewe ni kiongozi mtetezi wa haki za wote; na hujawahi kukata tamaa, licha ya kutishiwa uhai wako.

Tunajua nia ya utekelezaji wa uovu wa Serikali iliyopo dhidi yako kuanzia usiku wa leo, ila utabaki shujaa wa wengi, na utashinda!!

Mungu akulinde kaka Zitto Kabwe.

Suphian Juma

Februari 17, 2020.
FB_IMG_1581961646979.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kweli ulipata mgao na wewe then utakua umefanya damage kubwa kwa upinzani
 
Mkiambiwa mtoe ushahidi mahakamani juu ya huo uovu huwa mnatia huruma sana, huku ndevu na nywele zenu mmeweka dreads
 
Kawasili leo jioni nimemwona air port
Mahakama zimefanywa kuwa ni sehemu za kutesea wapinzani
Wananchi hawana imani nazo kabisa

Tarehe ya kesi Hakimu anajificha nyuma ya kabati ati ana dharura hata Zitto akija kesho ataambiwa Hakimu anadharura
 
Dunia inajua wewe ni kiongozi mtetezi wa haki za wote; na hujawahi kukata tamaa, licha ya kutishiwa uhai wako.

Tunajua nia ya utekelezaji wa uovu wa Serikali iliyopo dhidi yako kuanzia usiku wa leo, ila utabaki shujaa wa wengi, na utashinda!!

Mungu akulinde kaka Zitto Kabwe.

Suphian Juma

Februari 17, 2020.
View attachment 1361118

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mpango gani kuanzia usiku wa leo?
 
Back
Top Bottom