Mungu Mbariki Tundu Lissu! Afanyiwa upasuaji wa Mwisho kabisa... Atarudi akitembea kama kawaida

Duh!! Kila siku tunaambiwa ya mwisho ya mwisho huyu jamaa atakuwa na matobo sana mwilini au kuna baadhi wanaforce asisahulike?

Povu ruksa.
 
siku hizi habari ya lissu haikiki kabisa, yaan ni kama watu wanechoka habari zake
 
kama una kumbukumbu nzuri , hiki kilichofanyika sasa kilitakiwa kufanywa wakati ule wa oparesheni kubwa , bali iliachwa kwanza kwa vile ile tu ilienda almost masaa 7 , kwahiyo ikabidi itafutiwe muda mwingine
 
Haleluyah, ashukuriwe Mungu aliye hai, Mungu awezaye kuponya na kuwaepusha wateule wake na mauti, na kuwaokoa kutoka mapanga ya mafashisti na madubu watoa roho
 
Tafiti hupingwa na Tafiti mpya , kupinga tu kwa sababu umelipwa elfu 7 utaonekana mwehu
Kuna utafiti wowote ulioleta?au mahaba yako?Unaweza kuja na kesi nzito alizoshinda Lisu ambazo ilikua kwa mwanasheria wa kawaida asingetoboa?Nakubaliana na wanaosema kilichompa umaarufu lisu ni uhanarakati na si kingine.Mwanasheria nguli hawezi ongea kitu cha kisheria na kisitokee.Mfano Toka alivyosema TUTASHITAKIWA,je tumeshtakiwa?Kuna kesi za fao la kujitoa,Mikopo vyuo vikuu,magufuli kuvunja katiba nk je ziliishia wapi? Njoo na kesi nzito alizoshinda Lisu kabla ujamwaga masifa hayo coz umesema tafiti hupingwa kwa tafiti
 
Nitakutukana nifungiwe niende kenya talk potelea mbali
Kuna umuhim wa GREAT THINKER kutukana?Au sikuizi mnaamini ktk matusi kama HOJA?Mwanasheria anayejielewa na yuko kwa maslai ya umma HAWEZI zunguka miaka 8 na ushahidi mkononi anaaminisha umma LOWASA fisadi afu ndan ya dk kadhaa anaanza kumsafisha.Lisu ni Mwanasheria UCHWARA kuwahi tokea eneo la maziwa makuu sema kapata wafuasi ambao kichwani ni WEUPE.
 
Dah!!Wanadamu wana Roho mbaya sana.Imagine aliyemshambulia huyu bwana yupo tu na wala hajutii alichofanya Pengine.
Mkuu wataalam wa mambo wanatuambia kuwa hakuna mtu asiyejutia jambo alilo likusudia likiwa limefeli...
 
Dah!!Wanadamu wana Roho mbaya sana.Imagine aliyemshambulia huyu bwana yupo tu na wala hajutii alichofanya Pengine.
Na mbaya zaidi bado anaendelea kula mshahara wa walipa Kodi kama kawaida
 
Ukitaka ujue hii nchi INA watu kwenye roho mbaya siku akitua airport watu watakatazwa kwenda kumlaki
 
Vigelegele vya mataahira hivi! Mwambieni yule mwenye ma.ta.ko makubwa utafikri huwa namwingizia MUNGU anafahamu alichokifanya! Na yule taahira kama mambo yamemshinda akimbie ofisi! Tunatawaliwa na washambbbbbbbbbbb!!
 
Kuna watu ndio maana kila siku wanavurunda kutokana na dhambi kama hizi wanazozitenda.
Halafu eti Jumapili linapanga foleni kwenda kukomunika, shenxyy type kabisa! MUNGU wangu siku hizi amezidi huruma, angelifagilia mbali hili dubwana!
 
Haya basi baba yako ndiye mwanasheria nguli east and central africa, tumemaliza
 
Waliofanya ukatili Kwa TL tutakuja kuwajua siku ya kiama! Lakini Kama maandiko yanavyosema ukiua Kwa upanga utakufa Kwa upanga nao watapata taabu sana duniani na akhera!!
 
Halafu eti Jumapili linapanga foleni kwenda kukomunika, shenxyy type kabisa! MUNGU wangu siku hizi amezidi huruma, angelifagilia mbali hili dubwana!
Kuna haja ya Makanisa kujitenga waziwazi na wahalifu wanaojulikana waziwazi , Mungu siyo fala bhana , Mtu mnamjua kabisa kwamba ana roho ya kichawi mnamruhusu vipi kuingia mazabauni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…