Mungu Mbariki Tundu Lissu! Afanyiwa upasuaji wa Mwisho kabisa... Atarudi akitembea kama kawaida

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,355
217,391
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !

Hatimaye Mh Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria bora kabisa kuwahi kuwepo kwenye eneo la maziwa makuu tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , amefanyiwa upasuaji uliofanikiwa wa masaa matano kwenye mguu wake wa kulia.

740D38D5-3B54-4B87-93CD-63914681C695.jpeg

Taarifa zinasema huu ni upasuaji wa mwisho ambao utamuwezesha kutembea kama vile alivyokuwa kabla ya shambulizi la kishamba lililofanywa na watu waoga walioshindwa hoja.

Shukrani kwa kila aliyechangia matibabu yake ndani na nje ya nchi
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !

Hatimaye Mh Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria bora kabisa kuwahi kuwepo kwenye eneo la maziwa makuu tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , amefanyiwa upasuaji uliofanikiwa wa masaa matano kwenye mguu wake wa kulia , Taarifa zinasema huu ni upasuaji wa mwisho ambao utamuwezesha kutembea kama vile alivyokuwa kabla ya shambulizi la kishamba lililofanywa na watu waoga walioshindwa hoja.

Shukrani kwa kila aliyechangia matibabu yake ndani na nje ya nchi
Mungu mkubwa. Lakni naogopa ameshaomba ruhusa kuwashughulikia! Mimi naona akae kwanza huko tusikilizie kutoka international community inasemaje
 
Tangu Mh.Wakili Msomi apate ajali ya risasi Chadema Kama vile ipo Chumba Cha Wagonjwa Mahututi
Siku hizi hakuna Cha Mdee, Lema, Kubenea n.k
Angalau kidogo Sugu ndio ananyanyua sauti

Boeing 787-H Dreamliner limesababisha bendera zote za Malofa zipepee nusu Mlingoti
 
Mungu mkubwa. Lakni naogopa ameshaomba ruhusa kuwashughulikia! Mimi naona akae kwanza huko tusikilizie kutoka international community inasemaje
Hakuna mahali popote kwenye dunia hii ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu
 
Nachojua jamaa hayupo nchini, ila saizi anakusanyiwa taarifa za nchi hii mpaka mwenyewe ataanza kuziogopa !!

Siku Trump akiachana na Urais wa Marekan, ...basi tutaturudi zama za Obama .
 
Ila tuache utani tukiweka mambo yote pembeni tulitazame hili jambo kwa mtazamo wa kibinadamu Tundu Lisu kapitia mateso sana .
Huwa najiuliza anaweza vipi kutabasamu muda wote .

Hakika Mungu ni wa maajabu endelea kusimama naye ukimponya majeraha yake na kumrudishia afya yake.
 
Mashujaa wengi wa kweli waliokuja kuongoza nchi zao kwa mafanikio walipitia njia ngumu sana
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !

Hatimaye Mh Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria bora kabisa kuwahi kuwepo kwenye eneo la maziwa makuu tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , amefanyiwa upasuaji uliofanikiwa wa masaa matano kwenye mguu wake wa kulia , Taarifa zinasema huu ni upasuaji wa mwisho ambao utamuwezesha kutembea kama vile alivyokuwa kabla ya shambulizi la kishamba lililofanywa na watu waoga walioshindwa hoja.

Shukrani kwa kila aliyechangia matibabu yake ndani na nje ya nchi
Acha ulofa wewe..kijana mdogo huyo unasema eti haijawahi tokea kanda ya maziwa makuu..hii ni dharau..mbona wapo wengi ambao ni wszuri zaidi yake mara mia zaidi..yeye kilichompa umaarufu ni uanaharakati tuu..hakuna zaidi..ya hapo..na Lowasa ameshapiga marufuku uanaharakati kwenye chama chake..sijui atahamia wapi maana hawawez kaa zizi moja wale..jamaa ana kinyongo naye tangu alipomweka kwenye LIST OF SHAME. Majibu ni hapahapa duniani..subir uone
 
Back
Top Bottom