Mungu Likumbuke Taifa la Tanzania

Mungu Likumbuke Taifa la Tanzania

Waliozoea kuishi Kwa kutegemea mshahara ktk ajira binafsi na sirikali wasaidie kujua pia kuwa Mali inapatikana shambani,

Wajue pia bila ya mshahara wanaweza pia kuishi.

Wote tusizitegemee akili na nguvu zetu, Bali msaada wetu u katika Bwana Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi,

Tunakuomba utusikie.🙏🙏🙏

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi.

Mungu uliopo Mbinguni wapo watu wamelifia hili Taifa wapo watu ndio sababu ya hili Taifa kuwa hapa na kamwe familia zao na wajukuu zao hawakuwekwa mbele au kupata hata wizara yakuongoza. Mungu usiache waovu wachache wakalitia Taifa hili katika kiza kinene kwa sababu ya tamaa za matumbo yao na uchu wa madaraka.

Mungu hata kama Kuna uchawi na nguvu za aina yeyote Mawaziri wa tatu kama sio wanne ktk wizara muhimu kwa kesho ya watanzania hawana budi kurudi na kuwa wabunge wakawaida maisha kwasababu kiza na mkwamo wanaenda kulipa hili Taifa haikuwahi tokea.

Mungu njaa njaa njaa inanukia Mungu njaa inanukia inanukia inanukia na kama huto shuka nakufanya maamuzi magumu Taifa hili kwa mara ya kwanza lina enda kutana na njaa Kali Kali haijawahi tokea. Mungu njaa ina Nuka ila Wewe ni Mungu hujawahi shindwa hujawahi shindwa ukatutetee. Tuna hitaji Mawaziri wenye kujuwa Kuna watu hawapati hata mlo wa siku na mapapa wanasomba all food for little amount nakuja wauzia masikini kwa bei kubwa. Mungu bila Wewe Taifa hili tutalia nakusaga meno.

Mungu mwangalie mtu ulie muandaa kwa kazi ngumu kuliongoza Taifa hili Mungu usiangalie sura angalia mzalendo na mtu kweli anania na yakuwaongoza wa Tz. Mungu walio jipanga kunyakua madaraka nakutuongoza kwa tamaa zao Mungu usiache jambo Hilo likatokea.

Mungu wangu waangalie ma million ya vijana wasio na ajira ukawape akili na uwezo wakukabiliana na hali hii. Najuwa mabadiliko makubwa yanakuja ila wape subira vijana hawa hata ule muda utafika.

Mungu nawaombea sana wakuu waidara zetu nyeti za usalama na ulinzi Mungu adui yupo ktk mfumo bila idara imara za usalama na jeshi imara sisi kama Taifa ni fisi mbele ya maadui. Mungu inua wazalendo wengi ktk idara hizi kwa Uhai wa Taifa hili. Amen
Mungu Baba ya kumbuke haya maombi God have a Mercy with Us. Uwenda hatukuiona leo tukacheka jana na uwenda hatuijuwi kesho ndio maana tunaona kawaida. Ila sio kawaida Mungu liponye Taifa tumekukosea sana na tumekosea sana sasa tunatubu Baba😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
 
Mungu Baba ya kumbuke haya maombi God have a Mercy with Us. Uwenda hatukuiona leo tukacheka jana na uwenda hatuijuwi kesho ndio maana tunaona kawaida. Ila sio kawaida Mungu liponye Taifa tumekukosea sana na tumekosea sana sasa tunatubu Baba😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
Amin
 
Mufti Mkuu wa Tanzania anamuombea Dua Mwizi wa fedha za Watu Masikini TASAF kiongozi wa Wasiojulikana unategemea Mungu atatuchukulia Serious au anatuona kuwa ni Taifa lililooza anatamani ashushe gharika kuu.

Hamna kitu hapa Taifa limejaza Wanafiki tu.
 
Kweli inabidi muombe sana sana maana ukiangalia watu wanavyolitafuna taifa huku wengine nao kutwa wanaua wenzao kwa ajali zisizoisha kwa laana
Ukiangalia wafanyakazi kila sehemu wanaiba na kuomba rushwa, yaani kila sehemu ni dhambi tu
Maombi yanasaidia ila nanyi mjisaidie kila kitu mnafurahia hata mkiibiwa mnacheka tu
 
Back
Top Bottom