Mungu Kaamua Ugomvi: Haya Kiko Wapi?.

Mungu Kaamua Ugomvi: Haya Kiko Wapi?.

Nilisimamia kauli yangu kwamba "usimtukane mamba kabla ya kuvuka mto"
View attachment 3354270
Na baadaye kuna wananchi waliandika kila aina ya mada sehemu tofauti za kushangilia kuamukiwa kwa ugomvi sijui ulikuwa wa nani na nani?.

Lakini nafsi zilipaswa kujionya kutoshangilia kwa namna yoyote na hata Jenerali alisema ...

Naangalia kwa makini yanayoendelea nchini kwetu na je waliokuwa wanashangilia kwa kuchinja ma kujimwagia pombe bar wanasemaje?

Usishangilie kabla hujafika mwisho wa safari.
Umefaidika na nini tangu hapo hadi sasa? Ni mwendelezo tu wa yale yale.

Kilichobadilika tu ni Kwamba mmepasiana zamu kwa zamu.
 
Tangu kitambo enzi zake, namkubali JPM kuliko marais wengine wote
Kwa kiasi kikubwa waliokuwa hawampendi ni wale waliozoea kuvuna kivulini na kulia kivulini.

Majeshi yetu yangeamua kumlinda mzee kwa wivu mkubwa, nchi yetu ingekuwa mfano wa kuigwa yaani zaidi ya kinachosemwa Burkina Faso.
 
Unaweza kufika unatambaa au unatembea, lakini umefika.
 
Sikumkubali "from the day go!"
Mi mpaka leo naona mapichapicha tu.nchi imekua ya hovyohovyo tu just imagine heshima yetu inavyokwenda down.
Sijui nani aliweka hiyo katiba ya kupeana Urais kimbwelambwela tu kisa ni makamu.
Ndo haya sasa yanatokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom