Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,939
- 43,790
Upigaji na kula kwa kamba ndio mpango MZIMA.Mi mpaka leo naona mapichapicha tu.nchi imekua ya hovyohovyo tu just imagine heshima yetu inavyokwenda down.
Sijui nani aliweka hiyo katiba ya kupeana Urais kimbwelambwela tu kisa ni makamu.
Ndo haya sasa yanatokea
Sijui tunaenda wapi😞