Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,261
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na si hadithi za watu tu.Israel ni taifa teule Spiritual kwa wakristo nikimaanisha mambo mengi ya kiroho alipitisha kupitia wao, wana baraka nyingi na adhabu pia kwa hiyo sio kweli kwamba Mungu anawapendelea Leo naelezea adhabu walizozipitia
Wakati ndugu zake yusuphu wanamuuza misri ilikua ni moja ya uovu walioufanya ndugu zake kwa kuamisha lango lao la baraka na kulipeleka misri, miaka 400+ kukaa misri ilikua ni adhabu na akikukua kipindi kizuri hata kidogo
Walivyokua jangwani walimuuzi Mungu Tena wakapewa adhabu ya kuzunguka miaka 40 kwa safari ambayo haizid hata wiki mbili kwa miguu kwa hiyo miaka 40 jangwani ni adhabu
Kupelekwa ulaya hii ndo moja ya adhabu kubwa kuliko zote, baada ya kumkataa YESU Wana wa Israel walipewa adhabu nyingine ya kupelekwa ulaya na walikaa almost miaka 1800 Ila waliahidiwa watarudishwa ndo Uhuru tunao uona waliopewa 1948
Hizi ni baadhi ya adhabu waliopewa ila ziko nyingi sana
Hawezi kurudi hapa huyoKwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na si hadithi za watu tu.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na si hadithi za watu tu.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na si hadithi za watu tu.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na si hadithi za watu tu.
Kwa wapagani huu uzi hauwahusu kama unaamini Mungu hayupo ni vizuri sababu unao huo huru na maisha uliyoyachagua, lakin nikutoe hofu Sina mda wa kupoteza wa kuprove kwako Mungu yupo au la sababu itakua ni kuchoshanaHawezi kurudi hapa huyo
Mpagani ni mtu anayeamini Mungu tofauti na Mungu aliyekubalika na watu wa Magharibi pamoja na dini kubwa za dunia.Kwa wapagani huu uzi hauwahusu kama unaamini Mungu hayupo ni vizuri sababu unao huo huru na maisha uliyoyachagua, lakin nikutoe hofu Sina mda wa kupoteza wa kuprove kwako Mungu yupo au la sababu itakua ni kuchoshana
Sina mda wa kuthibitisha kwako kama Mungu yupo alafu iweje yaaniMpagani ni mtu anayeamini Mungu tofauti na Mungu aliyekubalika na watu wa Magharibi pamoja na dini kubwa za dunia.
Anaitwa mpagani kwa sababu anasemwa anaamini Mungu wa uongo.
Kuniita mimi mtu ambaye sikubali uwepo wa Mungu kuwa ni mpagani ni sawa na kusema mtu aliyenyoa kipara amesuka nywele mtindo mbaya.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Tuendelee kuongopeana
Israel ni taifa teule Spiritual kwa wakristo nikimaanisha mambo mengi ya kiroho alipitisha kupitia wao, wana baraka nyingi na adhabu pia kwa hiyo sio kweli kwamba Mungu anawapendelea Leo naelezea adhabu walizozipitia
Wakati ndugu zake yusuphu wanamuuza misri ilikua ni moja ya uovu walioufanya ndugu zake kwa kuamisha lango lao la baraka na kulipeleka misri, miaka 400+ kukaa misri ilikua ni adhabu na akikukua kipindi kizuri hata kidogo
Walivyokua jangwani walimuuzi Mungu Tena wakapewa adhabu ya kuzunguka miaka 40 kwa safari ambayo haizid hata wiki mbili kwa miguu kwa hiyo miaka 40 jangwani ni adhabu
Kupelekwa Ulaya hii ndo moja ya adhabu kubwa kuliko zote, baada ya kumkataa YESU Wana wa Israel walipewa adhabu nyingine ya kupelekwa ulaya na walikaa almost miaka 1800 Ila waliahidiwa watarudishwa ndo Uhuru tunao uona waliopewa 1948
Hizi ni baadhi ya adhabu waliopewa ila ziko nyingi sana
Huna muda au huwezi kuthibitisha?Sina mda wa kuthibitisha kwako kama Mungu yupo alafu iweje yaani
Hata ukiniambia siwez kuthibitisha unanipunguzia nin kwa mfano, na hata nikikuthibitishia unaniongezea nin hamnaHuna muda au huwezi kuthibitisha?
Unajiita Science Priest halafu hujui umuhimu wa uthibitisho?Hata ukiniambia siwez kuthibitisha unanipunguzia nin kwa mfano, na hata nikikuthibitishia unaniongezea nin hamna
Unajiita Science Priest halafu hujui umuhimu wa uthibitisho?
Hebu ondoa hiyo "Science" kwenye jina lako kwanza kabla hatujaendelea zaidi.
Bila ya ukorofi uliojikita kwenye kutafuta ukweli, hakuna maendeleo.[emoji23][emoji23]. Ww jamaa mkorofi sana aise
Kwenye maisha kila mtu ana Uhuru, mbona unataka kupangia watu jinsi ya kuishi report jamii forum wanibadilishe jina kama unavyotakaUnajiita Science Priest halafu hujui umuhimu wa uthibitisho?
Hebu ondoa hiyo "Science" kwenye jina lako kwanza kabla hatujaendelea zaidi.
Sio mkorofi ni mjinga na mpumbavu at the same time, kama kila Uzi anataka mtu aprove huoni kama ni Ujinga huo[emoji23][emoji23]. Ww jamaa mkorofi sana aise
Sijataka kukupangia.Kwenye maisha kila mtu ana Uhuru, mbona unataka kupangia watu jinsi ya kuishi report jamii forum wanibadilishe jina kama unavyotaka
Jamii forum sio jukwaa la kuthibitisha Bali la kupashana habari alafu jifunze kuandikaSijatqka kukupqngia.
Kwani mimi ndiye nimekuchagulia jina la kujinasibu na Science?
Sasa ukijinasibu na Science halafu ukaombwa uthibitisho, kitu qmbacho ni cha msingi katika Science, halafu ukadharqu uthibitisho, ukiitwa tapeli hapo mtu kakupangia maisha?
Yani ushuzi mchafu ujambe wewe, halafu watu wakisema huu ushuzi unanuka umejamba unataka kuwakaripia watu wasikupangie maisha?
Wewe umejinasibu na Science wakati huthamini umuhimu wa uthibitisho hata kwenye upumbavu hujafika.Sio mkorofi ni mjinga na mpumbavu at the same time, kama kila Uzi anataka mtu aprove huoni kama ni Ujinga huo