Mungu ibariki KILOMBERO na MLIMBA hapo kesho

Damy Scotty

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
717
453
Kwa jinsi hali inavyoendelea sidhani kama jimbo moja kama si yote hayatarudi CCM, tusubiri tuone maamuzi ya mahakama'
 
Kesi za uchaguzi?yule dogo asenga familia ya jk inampigia kifua sana,
Lolote linaweza tokea
 
Duh vipi kunani tena
Atakua amekosea kutuma huyo, alitaka kutuma whatsApp sasa ametuma hapa hajui hii platform ya ma'great thinkers

Huwez kutuma habari ambayo haina maelezo ya kutosha kuwaelewesha watu then unawish watu waelewe, it can't be!

Think big!
 
Sawa great thinker
 
habar ya mwendokasi naungana na jamaa mmoja kasema jamaa alitaka kuituma watsup kokesea kaileta jf.
 
Back
Top Bottom