JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 507
wakija kudhibitisha ni kutaka kujengea watu imani flani tu bila udhibitisho unaoingia akilin , hyo imani ya kuamn Mungu hayupo haina tofauti na iman ya din flan tu, waulize ni nguvu gani ilipangilia mifumo mbalimbali kiustadi bila kuathiri viumbe hai , wanasema wanaamni sayansi waulize sayansi inaweza simama bila kutegemea rawmaterial iliyokuwepo tu bila ufundi kutoka kwa binadamu?Dini zilikuwepo tangu enzi na enzi, jamii za wanaadamu zimekuwa zikiabudu vile wanavyoviita Mungu kwa miaka mingi sana hili halina ubishi.
Uwepo wake miaka mingi haina maana ni sahihi kuwepo wake maana hata uongo usipodhihirika huonekana ukweli miaka yote mpaka ukweli utakapofahamika.
Ila kuna sehemu ya watu kwenye jamii wamekuwa wakitilia mashaka na kukosoa wazo lenyewe la kuwepo kwa huyo anaeitwa Mungu. Wanaoamini (imani yoyote tu ‘as long as’ wanamuabudu wanachokiita Mungu) wanasistiza kuwa yupo na uwezo wake ni Mkuu sana.
Hoja za waumini nazifahamu baadhi, ila hoja za Atheist sijazielewa.
Ningependa kuwaelewa zaidi Atheists, Karibuni hapa Atheist walau mthibitishe (kama mtaweza) kuwa huyo wa kuitwa Mungu hayupo.
Lakini kwanza ni lazima tufafanue nini maana ya MUNGU, kwa maana kukurupuka kujibu swali ilhali hatujui maana ya dhana ya msingi wa swali itakuwa ni uhayewani wa kiwango cha juu sana.
Karibuni sana!
View attachment 2355249
Hutapanga nini nifanye ama nini nisifanye.Yani wewe uanzishe mada, alaf utake watu waje wathibitishe?
Nadhan ilifaa wewe uweke facts zako kwa upana, then opposers waje na reasons zao, ila sio kutaka waje wapinge kauli ambayo haijashiba maelezo
Wakija kusema hao ni alliance waliunda vyote hivyo ( annunaki ) basi waambie kama ni wao sisi tumeamua kuwaita Mungu kwa sababu wametuumba , hatuna uwezo juu yao na ndo Mungu ni taofauti ya majina tu.Wakija kudhibitisha ni kutaka kujengea watu imani flani tu bila udhibitisho unaoingia akilin , hyo imani ya kuamn Mungu hayupo haina tofauti na iman ya din flan tu, waulize ni nguvu gani ilipangilia mifumo mbalimbali kiustadi bila kuathiri viumbe hai , wanasema wanaamni sayansi waulize sayansi inaweza simama bila kutegemea rawmaterial iliyokuwepo tu bila ufundi kutoka kwa binadamu? waulize ni nguvu gani na intelligence ipi inayofanya kazi ndani sperm kuunda kiumbe kilicho na mifumo na mipangilio maalumu ? ni kitu gan kiliweka sukari ndan ya muwa na kwa dhumuni lipi je ilitokea tu bila nguvu na inteligence yoyote?
Ukiachana na iman ya uwepo wa Mungu utaingia kwenye imani mpya wa kutokuwepo kwa Mungu, ukitaka kushinda hlo iman isiwepo kabsa kitu ambacho ni uongo.MUNGU ni suala la kiimani. Tunaamini MUNGU yupo sababu hakuna mbadala wa concept isiyo na shaka ya uwepo wa ulimwengu. Hii imani ni zao la kutokewepo kwa facts zisizo na shaka za sababu za uwepo wetu na vyote tuvionavyo. Ukisema tuachane na imani ya uwepo wa MUNGU njoo na hitimisho la yote tuliyoyakuta duniani. Siku tukipata jibu kuwa ss ni nn na ulimwengu ni nn basi hiyo imani itafutika. Kwa sasa yoyote apingaye uwepo wa MUNGU bila ushahidi timilifu wa kutokuwepo kwake ni mfuasi wa adui wa MUNGU aitwaye shetani, ibilisi.
Mkuu, imani inazaliwa, inatunzwa, inakomaa kisha inarithishwa. Sisi ni vizazi tulivyorithi imani kutoka kwa mababu. Imani ya kutoamini uwepo wa MUNGU bila majibu kamili ya ulimwengu, maisha na kifo ni nn kwangu mm ni ujinga kama ujinga mwingine.ukiachana na iman ya uwepo wa Mungu utaingia kwenye imani mpya wa kutokuwepo kwa Mungu , ukitaka kushinda hlo iman isiwepo kabsa kitu ambacho ni uongo.
Mkuu imani ipo tu ata wasingeanzisha mababu, unapanda gari unaamini huyo dereva atakufikisha salma japo haujui kama jana alipata kichaa unaamni tu, unalala unaamn kesho utaamka, unaamni tu, unaamni tu binadamu ana akili ata haujawahi kuiona akili kimaumbile ya kimwili unaamin tu, unaamni tu kuna hewa, ila hauioni kwa macho unaamn tu, unaamn kuna joto na unalihisi ila haujawahi kulionaMkuu, imani inazaliwa, inatunzwa, inakomaa kisha inarithishwa. Sisi ni vizazi tulivyorithi imani kutoka kwa mababu. Imani ya kutoamini uwepo wa MUNGU bila majibu kamili ya ulimwengu, maisha na kifo ni nn kwangu mm ni ujinga kama ujinga mwingine. Imani ya kuamini uwepo wa MUNGU sababu hakuna majibu mbadala ya sababu za uwepo wa ulimwengu, maisha na kifo kwangu mm ni sahihi sana. Mtu akisema hakuna MUNGU anapaswa aseme sisi ni nn, kifo ni nn, yote tuyaonayo ni nn. Tunasema MUNGU yupo sababu tupo ila hatujui sisi ni nn, maisha ni nn, kifo ni nn.
Sisi ni Mungu katika maumbile yakuonekana, maisha ni mchezo wa kuigiza, kifo ni badiliko la kiumbo tu kutoka maumbile ya ngaz ya chini kwenda ngazi ya juu zaidi, kma lilivyobadiliko la maji, mvuke barafu.Mkuu, imani inazaliwa, inatunzwa, inakomaa kisha inarithishwa. Sisi ni vizazi tulivyorithi imani kutoka kwa mababu. Imani ya kutoamini uwepo wa MUNGU bila majibu kamili ya ulimwengu, maisha na kifo ni nn kwangu mm ni ujinga kama ujinga mwingine. Imani ya kuamini uwepo wa MUNGU sababu hakuna majibu mbadala ya sababu za uwepo wa ulimwengu, maisha na kifo kwangu mm ni sahihi sana. Mtu akisema hakuna MUNGU anapaswa aseme sisi ni nn, kifo ni nn, yote tuyaonayo ni nn. Tunasema MUNGU yupo sababu tupo ila hatujui sisi ni nn, maisha ni nn, kifo ni nn.
Upo sawa bossMkuu imani ipo tu ata wasingeanzisha mababu , unapanda gari unaamini huyo dereva atakufikisha salma japo haujui kama jana alipata kichaa unaamni tu, unalala unaamn kesho utaamka , unaamni tu , unaamni tu binadamu ana akili ata haujawahi kuiona akili kimaumbile ya kimwili unaamin tu, unaamni tu kuna hewa , ila hauioni kwa macho unaamn tu , unaamn kuna joto na unalihisi ila haujawahi kuliona KWAHIYO KUTOONA Jambo flani kwa macho hakumaanishi jambo hlo halipo , ila kuona matokeo tu au kuhisi nikidhibitsho tosha hlo jmbo lipo , kuna maumbile sio rahisi kuyaona kwa macho kwa sababu yapo kwenge enegry ya juu na frequence ya hali ya juu.
Hii ni nadharia japo katika uhalisia inamake sense.sisi ni Mungu katika maumbile yakuonekana , maisha ni mchezo wa kuigiza , kifo ni badiliko la kiumbo tu kutoka maumbile ya ngaz ya chini kwenda ngazi ya juu zaidi , kma lilivyobadilio la maji ,mvuke barafu.