Mungu hatunzi zawadi ya maisha marefu kwa wanafiki, kalazwe unakostahili

Mtimbo

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
1,392
796
Habarini,wadau,
Poleni na majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki na nimatumaini yangu kadiri jua linavyozama basi tumepata angalau kidogo cha kurudisha nyumbani kwa ajili ya wapendwa na familia zetu.

Utangulizi:
Natambua uwepo wa nyuzi mbali mbali hapa jukwaani tena zikiwa na maudhui mbalimbali kulingana na malengo ya muandishi. zipo nyuzi (topic) zinazohabarisha, zinazoelimisha, zinazoburudisha na zile zinazoadilisha.
Nyuzi hii yangu ni mahususi kwa ajili ya kuadilisha yaani kumfanya msomaji akishakwisha kusoma na kutafakari basi hutoka na maadili ambayo kupitia kwayo kwa Msomaji mzingatiaji hujiepusha na balaa lakini kwa wale pangu pakavu tia mchuzi huzama kwenye tope.

Angalizo: usipoelewa usikasirike na wala usifadhaike subiri topic ambayo ni size yako.

Back to the topic (Revelation)
1. Siku zote fanya ufanyavyo ila ujue malipo ni hapa hapa duniani.
2.Siku zote utavuna ulichokipanda (karma Principle), ukipanda wema utavuna wema na kinyume chake ni sahihi.
3.Siku zote mungu anafikiwi, Unaweza kuwa mnafiki kiasi cha binadamu wote kukufurahia na hata kupewa tuzo lakini kwa mungu hapana
4.Mungu hajawahi kutoa zawadi ya maisha marefu kwa wanafiki na hilo limethibiti leo na siku zote ndivyo ilivyo.

Hitimisho: Kalale unapostahili sisi tuko nyuma yako.
 
Eti zawadi ya maisha marefu. Maisha marefu ndiyo nini? Kuna tofauti gani kati yako utakayeishi miaka 100 na aliyefariki akiwa na miaka 10?
 
kheeeeeeeeeeeeeeeee aisee kweli jf kiboko hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa yaani yanamtoka
nani ameondoka duniani anayetajwa hapa
 
Back
Top Bottom