MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,607
- 39,390
Hakika, huyo ni kikaragosi mbele ya Mungu. Amini nawaambia Mungu hana muda wa kupoteza na huyo boya.Hii iende kwa wafuasi wa nabii anayejiita Joshua ...nimemuona kwa startv kama sikosei anawapanga waumini wake hadi utacheka ...
Tusome neno la Mungu na tumuombe yeye mwenyeweNaamini Mungu yupo,
Ila ukichukua Kila unaloambiwa bila kufanya reference ya Biblia inasemaje utapotea,
Tumepewa akili tuzitumie.
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Information is Power,
Usiache kusoma Biblia
Hii iende kwa wafuasi wa nabii anayejiita Joshua ...nimemuona kwa startv kama sikosei anawapanga waumini wake hadi utacheka
Hawa watu wanafanya mzaha na Mungu. Mwenye enzi Mungu si wakufanyiwa mizaha. Watubu na kuomba huruma yakeView attachment 2606910
Kuna huyu mwingine
Kataa mawakala na madalali wa mchongo. Mungu haitaji dalali au wakala kufanya kazi zakeKATAA WACHUNGAJI
WACHUNGAJI NI WEZI
WACHUNGAJI NI MATAPELI.
JIOMBEE MWENYEWE.
No one is special to God to pray for others No matter how holy he is.
Emancipate Yourself from Mental slavery.
Huyu huwa simwelewj...View attachment 2606910
Kuna huyu mwingine
Nawafokea kwa karipio kali watu wote wanao tumia maandiko kuwahadaa walimwengu
Wapo watu wanaodhani ni ujanja au uwerevu ku-take advantage ya ujinga wa wenzao kwa kuwahadaa kwamba wao ni mitume au manabii au madalali au mawakala au wasemaji wa Mungu
Wanakusaja makundi makubwa ya watu wapumbavu na kuwachosha kwa ibada ndefu na kuwaaminisha kwamba wanawapa revelations au baraka za Mungu kwa imani ya kupata maisha ya furaha mbinguni au kwa njia ya kupata mali na heri hapa duniani.
Huu upumbavu umeenea kwa kasi na unachangamkiwa na watu wenye IQ ndogo wanao hadaa wajinga na wapumbavu wenzao. Unfortunately, nchi yetu ina mkusanyiko mkubwa zaidi wa watu wapumbavu na huo ndiyo mtaji wao.
Nawafokea tena kwa karipio kali zaidi. This nonsense must stop. Mungu hana wakala,dalali ama msemaji huku duniani. Mungu haitaji hao watu kufanya shughuli zake. Hao watu ni viumbe tena dhaifu na kiufupi hawana mastahili yoyote mbele za Mungu.
Maandiko yako wazi, muombe Mungu wako na atasikia maombi yako. Hautaji mtu wa kati. Makinika na chukua tahadhari.

An African woman following a prophet ni sawa mwendawazimu.Nakukaripia kwa Jina la Yesu Kristo aliye hai
Acha injili ya kweli ihubiriwe
Yeye muumba amekutuma wewe, amenituma mimi na wengine kufanya kazi zake.
Tumia akili za moyoni kuwatambua matapeli ila usitumie kigezo cha utapeli kuzuia kazi ya Mungu
Nadhani ata Yesu mwenyewe atakua anakuchekaNakukaripia kwa Jina la Yesu Kristo aliye hai
Acha injili ya kweli ihubiriwe
Yeye muumba amekutuma wewe, amenituma mimi na wengine kufanya kazi zake.
Tumia akili za moyoni kuwatambua matapeli ila usitumie kigezo cha utapeli kuzuia kazi ya Mungu
Umetekwa weweNadhani ata Yesu mwenyewe atakua anakucheka
Ni hivi, hawa wanaojiita hayo majina wanajua kwamba mitume na manabii waliteswa na kupitia kwenye tanuru za moto. Sasa tuwapelekee moto kama hawataingia mitini?Umetekwa wewe
Yesu Awatuma Wanafunzi Wake
Matayo 28:16-19
16 Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya kwe nye ule mlima ambao Yesu aliwaagiza. 17 Walipomwona, walimwabu du. Lakini baadhi yao waliona mashaka.
18 Yesu akawakaribia akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Kwa hiyo nendeni mkawafanye watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi wangu: mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.
An African woman following a prophet ni sawa mwendawazimu.