maisha ya mwanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa, wengi wetu tumezaliwa tukiwa na ndoto kibao za mafanikio katika maisha yetu...
Mungu anakupa kile ambacho kinachokufaa na kinachokustahili.
Kuna mambo mengine, japo kwa akili ya kawaida yanaweza kuwa ni mazuri, lakini yasikufae wewe au yasikustahili...
Naamini muda mwingine kunyimwa kunaweza kukulinda na kukuepusha na mambo hata wewe mwenyewe ungeyajua ungeomba ubaki tu ulivyo. Tusiwe wepesi wa kulalamika na tusipime neema zetu kwa kuangalia neema za mwingine kwasababu itakuzuia kuona baraka zako na kuishia kujiona huna bahati na kukufuru zaidi.maisha ya mwanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa, wengi wetu tumezaliwa tukiwa na ndoto kibao za mafanikio katika maisha yetu...
Ni ukatili sana.Mkuu hebu take your time na uende pale Muhimbili jengo la hospitali ya watoto
Kawaangalie wale watoto wenye kansa, matatizo ya moyo...
KIBWAGIZO: ombeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa, ni nani kwenu ambaye mwanae akimwomba mkata atampa jiwe au akimwomba samaki atampa nyoka? ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watu vitu vyema je si zaidi sana baba yenu wa mbinguni? atawapa mema wale wamchao.maisha ya mwanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa, wengi wetu tumezaliwa tukiwa na ndoto kibao za mafanikio katika maisha yetu...
Kwanza lazima uelewe kuna kitu kinaitwa fate (something which is destined to happen to you) yaani majaaliwa na kila mtu ana fate yake hapa duniani.Mkuu hebu take your time na uende pale Muhimbili jengo la hospitali ya watoto
Kawaangalie wale watoto wenye kansa, matatizo ya moyo nk.
Wale watoto zaidi ya nusu hawatafika umri wa utu uzima watakua wamekufa kwa taabu na mateso makubwa sana kabla magonjwa hayo hayajachukua uhai wao.
Watakao survival maisha yao yataka ya mashaka na taabu kwa side effect za madawa na watakua tegemezi maisha yao yote
HAWA MUNGU KAWAPA KINACHO WAFAA NA KUSTAHILI?
Nenda Kinondoni kuna MADIGALA wauza madawa ya kulevya wanaishi kama wapo peponi vile huku wakihatibu vijana wengi sana kwa madawa ya kulevya
HAWA MUNGU KAWAPA KINACHO WAFAA NA KUSTAHILI?
umeandika vitu kishabiki bila ya kuwa na facts na dataKIBWAGIZO: ombeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa, ni nani kwenu ambaye mwanae akimwomba mkata atampa jiwe au akimwomba samaki atampa nyoka? ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watu vitu vyema je si zaidi sana baba yenu wa mbinguni? atawapa mema wale wamchao.
maneno haya yanadhihirisha kwamba, Mungu kuna wakati huwa anakupatia kile kile ulichoomba, lakini endapo anaona kitakudhuru au utamwacha ukikipata, anaweza asikupatie. why? Yakobo 4:3 inasema, Hata mwaomba, wala hampati kwasababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.
SWALI KUU: ni maombi gani yatakuwa sahihi ili nijue lazima tu nitajibiwa? Jibu: mtumishi wa Mungu Benny HInn alinifundisha kitu kikubwa sana, yeye anaamini maombi yale ambayo utakuwa na uhakika kwamba utajibiwa yote, ni yale maombi ambayo Roho Mtakatifu amehusika, yaani maombi ya kunena kwa lugha au kuomba kwa Roho Mtakatifu, kwasababu pale Roho Mtakatifu mwenyewe aliaye aba ndani yetu ndiye anakuwa anaomba, ameuteka moyo wako na kuomba pamoja nawe ni sawa ameushika mkono moyo wako anakusogeza kwenye kiti cha enzi, na yeye aijuaye nia ya roho ataopa maombi yale tu yaliyo sahihi na yote yatafika kwa Mungu. NDIO MAANA TUNASEMA MUOKOKE MJAZWE ROHO MTAKATIFU awasaidie kwenye maombi na awaongoza.
WARUMI 8:26 - 28 inasema, Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo Mungu. Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani wale walioitwa kwa kusudi lake.
WARUMI 8:14 - 17 inasema, Kwa kuwa wote wanaoogozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu. Kwa kuwa hamkupokea tena roho ya utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia ABA, yaani Baba. Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu; na kama tu watoto basi tu warithi, warithi wa Mungu, warithio pamoja na Kristo, naam, tukiteswa pamoja naye ili tupate na kutukuzwa pamoja naye.
CONCLUSION: watu wengi wanaomba maombi, hata haya ya kwaresma, lakin hayatajibiwa, wanashinda njaa bure, kwasababu wanafunga kwa kufuata mapokeo ya dini zilizotengenezwa na wanadamu. Mungu hawasikii wenye dhambi ndio maana amesema sikio lake si zito ila maovu yetu yametutenga sisi na yeye. kwahiyo, mnatakiwa kuokoka kwanza, mjazwe Roho Mtakatifu mnene kwa lugha na huyo huyo Roho atawasaidia sio tu kuwaongoza, bali kwenye maombi kama mistari hapo juu ilivyosema, na ukiwa huna Roho wa Mungu wewe sio wake, hata akija leo anakuacha. Mungu awafunulie hili, karibuni kwenye wokovu.
Nadhani Mungu ameweka ground sawa tutafute maisha. hivo ni juhudi zako kutafuta uelekeo sahihi wa kutafuta maisha. maisha siyo ya kukaa na kusubiri yaje mazuri. pia unaweza kupambana in a wrong direction, let us be flexiblemaisha ya mwanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa, wengi wetu tumezaliwa tukiwa na ndoto kibao za mafanikio katika maisha yetu , hakuna mtu asiye penda kuishi maisha mazuri, kila mtu anatamani awe na pesa, jumba, magari na miradi mbalimbali ya kutosha
Nadhani wengi wetu tulipo kuwa bado wadogo katika nyoyo zetu na nyuso zetu tulikuwa tumejenga picha ya maisha yetu ya badae kwamba tutakuwa na maisha mazuri tumejenga nyumba nzuri,tumenunua gari kali la bei mbaya alafu pembeni una mwanamke mzuri. Lakini vyote sivyo bado hatujafanikiwa na tunaendelea kusota na maisha
Siku zote Mungu huwa HAKUPI UNACHOTAKA na anakupa usichotaka ni watu wachache sana ambao wapo kwenye mpango wa Mungu na wakamuomba mahitaji yao wanayo yataka na wakapewa, wengi wetu ndoto zetu nyingi zimeishia njiani kwa sababu tumesha kata tamaa ya maisha.
Sababu maisha ni bahati, maisha ni nasibu mafanikio ya mtu huwa yanakuja automatiki na kila mwanadamu huwa ana road map ya maisha yake yaani mungu anakuwa amesha kuchorea kila kitu kuhusu maisha yako hata ufanye vipi utumie mbinu gani lakini Mungu akipanga amepanga kwamba huyu mtu maisha yake yatakuwa hivi
Embu fikiria una ndoto ya kuwa daktari ila unaishia kuwa mwalimu,
Unataka kuwa injinia unaishia kuwa polisi
Unataka kuwa mwanasheria unaishia kuwa bodaboda
Unataka kumuoa mwanamke fulani ila unaishia kuoa mwingine usiye mdhania
Unapanga nikifungua biashara fulani basi mambo yangu yatanyooka yatakuwa mazuri ila baada ya kufungua mambo yanaenda ndivyo sivyo unaishia kwenye limbi la mawazo kibao.
Lakini haya yote ndio maisha yetu sisi maskini, kwa maana maskini ni wengi kuliko matajiri na wenye mafanikio ni wachache sana tulio wengi ni maskini .
Na baada ya mahangaiko yetu yote duniani lakini mwisho tunaishia kaburini
Ndugu zangu tumtafute sana Mungu kwa bidii ili kila tunacho kitaka tuweze kukipata kwa muda na wakati sahihi
Lakini pia usisahau kuwa sio kila mtu anayepitia nyakati ngumu za kuwa na maisha magumu eti kwamba baadae atapata mafanikio baadae pia unaweza hata ukafa.
yaani mtu ku conclude kuwa kila jambo limepangwa na Mungu nadhani haipo sawaMkuu hebu take your time na uende pale Muhimbili jengo la hospitali ya watoto
Kawaangalie wale watoto wenye kansa, matatizo ya moyo nk.
Wale watoto zaidi ya nusu hawatafika umri wa utu uzima watakua wamekufa kwa taabu na mateso makubwa sana kabla magonjwa hayo hayajachukua uhai wao.
Watakao survival maisha yao yataka ya mashaka na taabu kwa side effect za madawa na watakua tegemezi maisha yao yote
HAWA MUNGU KAWAPA KINACHO WAFAA NA KUSTAHILI?
Nenda Kinondoni kuna MADIGALA wauza madawa ya kulevya wanaishi kama wapo peponi vile huku wakihatibu vijana wengi sana kwa madawa ya kulevya
HAWA MUNGU KAWAPA KINACHO WAFAA NA KUSTAHILI?
Kwanza lazima uelewe kuna kitu kinaitwa fate (something which is destined to happen to you) yaani majaaliwa na kila mtu ana fate yake hapa duniani.
Sasa swali kwanini imekaa hivyo, majibu yake ni from the theological perspective kwamba Mungu alipo umba dunia akaona kila kitu kinafaa na ni chakupendeza kwa lugha laini kazi ya Mungu haina makosa.
Sasa basi, vitu vinavyozungumzwa hapa ni vile ambavyo wewe una viomba, na wengi wetu tunaomba vitu ambavyo pengine tunao wajibu wakuvitafuta kama vile mali, mke, usalama, amani, upendo na ata afya njema.
Sina nia ya kukufuru au kulaumu, matatizo mengi ya watoto wetu pengine yangeweza kuepukika kama tungezingatia kanunu za afya na kufuata maelekezo ya kitabibu. Magonjwa mengine yanayowapata watoto ni ya kurithi au yanatokana na uzembe wa wazazi katika kutunza na kufuata afya ya uzazi. Nakiri pia kwamba matatizo mengine pia yanatokea bila kuwa sababu yoyote na hakuna anayeweza kulaumiwa mfano organ failures and diseases kama cancers.
Ukiacha matatizo yanotokea kwa kujitakia wenyewe kama vile urahibu wa madawa ya kulevya, ngono na ajali kama za bodaboda na nyingine nyingi ambazo zinasababisha madhara makubwa, bado sehemu kubwa ya maisha yetu sisi wanadamu ni majaaliwa ya Mwenye -Enzi Mungu.
Bado naendelea kukusihi, tuendelee kumshukuru Mungu kwakua matendo yake ni makuu na ya ajabu
Tuliza wenge mkuu, kunywa maji kwanza, Mungu siyo Athumani, njia zake siyo njia zetu, maamuzi yake si maamuzi yetu, vyote afanyavyo ni vya kupendeza, tumrudishie sifa na utukufuMkuu Kwahiyo unawaangushia zigo la lawama wazazi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Your not seriously
Nimekwambia take your time, andaa laki moja tu nenda pale hospitali ya watoto katoe msaada kisha muulize dr ni kwa nini watoto wanazaliwa na kansa, matatizo ya moyo, mifumo ya chakula, hewa, ulemavu, kuungana nk nk
Mungu hampi wala kumyima mtu kitu chochote kwasababu angeanza na watoto wale ambao wanaomba na kutamani wawe wazima kama wenzao lakini kwa bahati mbaya ama watakufa kwa mateso au wataishi kwa mateso maisha yao yoye...... and God did absolutely NOTHING about
Basi anamaamuzi yakiwaki na ni katili sanaTuliza wenge mkuu, kunywa maji kwanza, Mungu siyo Athumani, njia zake siyo njia zetu, maamuzi yake si maamuzi yetu, vyote afanyavyo ni vya kupendeza, tumrudishie sifa na utukufu
Tumsifu Yesu Kristu
Tuliza wenge mkuu, kunywa maji kwanza, Mungu siyo Athumani, njia zake siyo njia zetu, maamuzi yake si maamuzi yetu, vyote afanyavyo ni vya kupendeza, tumrudishie sifa na utukufu
Tumsifu Yesu Kristu