Mungu hakosolewi

1.Ni ke au me?
2.Alizaliwa hivyo*2
3.Au aliongeza ndio matokeo yake?
4.Au aliungua?
 
Masikini kweli Mungu hakosolewi,pole yake ila hii yote inasababishwa na wanaume

Hapana hakujiamini! Aliona pa Mungu pamekosewa akatafuta mabingwa wakamuedit
 
Hapana hakujiamini! Aliona pa Mungu pamekosewa akatafuta mabingwa wakamuedit
Ni kweli kabisa ila wanaume husababisha ke wafanye mambo ya ajabu,mfano akipita mwenye mzigo kama ni dereva atasababisha hadi foleni,sasa kama umepigwa pasi na confidence zero ndio mawazo hayo yanakujia
 
CC: Honey Faith truly confident woman heshima sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…