Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Nifah hiyo wanaita "tube" huko ulaya, huwa hawapasui milima, wanaichimba chini kwa chini. Very common in Japan and other mountainous regionsMhhhhhh ni wapi huko?
Jamani jamani kama ni nchi kama Holland au marekani. ...dah!Hiyo pick-up mbele inaandaa mazingira ya ajali maanak jamaa anaelekea the opposite lane labda kama ni one way.
Mkuu hakuna tube iliyowahi kuporomoka?Nifah hiyo wanaita "tube" huko ulaya, huwa hawapasui milima, wanaichimba chini kwa chini. Very common in Japan and other mountainous regions
Sijawahi kusikia! Yanakuwa reinforced na utaalamu wa hali ya juu sanaMkuu hakuna tube iliyowahi kuporomoka?
Nimeogopa kwelikweli.
South Africa nao wanazo kama hizo, ni adventure flani hivi.Mhhhhhh ni wapi huko?
Hapana siyo adventure, nchi kama japan yenye milima mingi au Switzerland hawachongi milima, bali wanaichimba chini kwa chini na kutoboa mpaka ngambo ya pili!South Africa nao wanazo kama hizo, ni adventure flani hivi.
Tunnel...Mbona kama mlango Wa pit