Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Ona hili taga lililopotelewa na ubongo [emoji3064][emoji3064]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Whaat! Mkuu bado wewe ni mtetezi wa huyo ndezi Sabaya!?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] ndege JOHN wewe na serikali nani anajua zaidi?Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Kuna siku utalipia hii kauli na utakumbuka maneno yangu.
Wewe umeona Facebook aliyofanya na mama kaona whatsup mabaya alaiyofanya sabaya Sasa tuchukue la Nani hapa ?Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
U mjinga sana wewe kufikiri Magufuli au Sabaya walikuwa watu wazuri usisahau visa vingi vya kutekwa, kuteswa, kuumizwa na kuuwawa kwa makumi ya watanzania wasio na hatia!Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Lete ushahid Kama rugemalila anamakosa toka akamatwe had mwendazake anakata mafuta hajahukumiwa uchunguzi BadoSerikali ni nani?
Kama serikali ilishindwa kuwakamata kina Rugemalila kwa ufisadi enzi hizo...na with waliwajua kuwa wamehusika, we unadhani kati ya serikali na huyu jamaa nani anajua? Tofautisha serikali kwa ajili ya watu wote na serikali kwa ajili ya wachache.
Omba toba. Usilitaje jina la Mungu katika kuutetea uovu, unafanya kufuru kuu. Kumkufuru Mungu kwaajili ya kumtetea mwanadamu mwovu, sijui kama umefikiria hasira ya Mungu.Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Unaliongelea lile dicteta. Haya tuambie tili 1.5 ilienda wapiKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Ndio keshaanza kulipa hivyo, Mwendazake tayari keshalipwa Sabaya malipo yake tayari bado wewe na Makonda.Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.