Goku 255
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 461
- 894
Ni siku nyingine tumeiona tukiwa wazima. sio kama tumetenda mema bali nikwa mapenzi yake maulana. Na kuna wengine walitamani kuiona siku ya leo japo kwa bahati mbaya hawakuweza kuiona. Ila wewe ni wa maana umeion siku ya leo chukuwa ata angalau sekunde moja umpe mungu shukrani.