Sijatoka kwenye hoja, nimeona wengi wenu mnashindwa kujibu hoja zangu kwa kuleta tasfiri mpya ya dhambiNaona unatoka kwenye hoja yako, ya He, Mungu anaweza tenda dhambi ?
Hii umeimaliza tuje kwenye Utakatifu wa Mungu ?
Nisome post yangu hapo juu nadhani utanielewa vizuriUnaelewa Maana ya Utakatifu Kwanza ?
Sasa hapa utatakiwa uniambie nikuthibitishie vipiKwa fikra zako zilivyokuwa finyu hebu thibitisha kwamba mauaji hayo/ gharika hizo ziliratibiwa na Mungu.
Sasa hapa utatakiwa uniambie nikuthibitishie vipi
Sikutishi BroSijatoka kwenye hoja, nimeona wengi wenu mnashindwa kujibu hoja zangu kwa kuleta tasfiri mpya ya dhambi
Jambo fulani likifanywa na mtu tunasema ni dhambi ila Mungu akifanya kitu hicho hicho ambacho kimetoka kufanywa na mtu na tukakiita ni dhambi, kwa Mungu haiwi dhambi.
Iweje Mungu afanye ukatiri aitwe mtakatifu/mwema?
Ukisema sheria za kutambua dhambi ziliwekwa kwa ajili ya kutumika na watu.
Kumbuka kuwa hao watu pia wasipofanya hizo dhambi wanaitwa watakatifu/wema.
Na Mungu naye kumbuka huitwa mwema, sasa kwanini aitwe mwema wakati hafungamani na shetia zinazohusiana na watu?
Umeielewa hoja yangu mpaka hapo?
Ukisema Mungu anaua watu bila hatia na bado haesabiki kuwa ni dhambi kwasbabu sheria ya kusema hii ni dhambi ipo maalumu kwa ajili ya watu, basi haupaswi kumuita mwema au mtakatifu kwasababu hayo ni maneno yanayomtofautisha yule ambaye hafanyi dhambi na since yeye hausiki na sheria za binadamu nasi hana uhalali wa neno hilo.
Nadhani umenielewa
Hoja yako imekaa kimhemko, unanibashiria fikra zangu kupitia mawazo yakoKwani Si wewe ndiye uliyesema kwamba gharika za wale Mashoga wa Sodoma na Gomora ziliratibiwa na Mungu!!, sasa thibitisha hicho unachosema.
Na Kwanini kugharikishwa kwa hao mashoga roho yakuuma??!!
And my question wasn't "where is God "Sikutishi Bro
Kuwa na akiba ya Maneno, God is there, and Real is There
Imeandikwa USIUE,lakini pia imeandikwa usimuache mwanamke mchawi akaishi(muue),au mtu atakayefanya mauaji kwa makusudi ana hatia na yampasa kuuawa(ukiua kwa upanga ,utakufa kwa upanga)Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Duh Ila wee jamaa[emoji125]Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Hizo sababu za kuhalalisha mauaji pia zinaweza kutumika dhidi ya watoto wachanga?Imeandikwa USIUE,lakini pia imeandikwa usimuache mwanamke mchawi akaishi(muue),au mtu atakayefanya mauaji kwa makusudi ana hatia na yampasa kuuawa(ukiua kwa upanga ,utakufa kwa upanga)
Utitazama kwa umakini,utagundua tendo la mauaji linaweza ama kuwa kosa au kuwa sawa kulingana na muktadha mbalimbali
Hoja yako imekaa kimhemko, unanibashiria fikra zangu kupitia mawazo yako
Unataka nijibu hoja kulingana na vile wewe unavyofikiri kuwa mimi ndio nafikiria
Sijui umetumia kipimo gani kujua roho inaniuma
Okay narudi kwenye swali
Sababu ya mimi kukuuliza uthibitishiwaje nilimaanisha ni source ipi ambayo unataka mimi nikuthibitishie hao watu waliuwawa na Mungu
Nikiwa na maana ya kwamba, hiyo stori iko based kwenye biblia na wewe ni muislam
Waislam na Wakristo huwa wanapingana kwenye habari nyingi zilizoandikwa kwenye vitabu vyao, sasa wewe umekuja kuingilia mada na kutaka uthibitishiwe.
Wakristo wote waliosoma hayo maelezo wameelewa na wanajua wapi hayo maneno yanapatikana na ndio maana hakuna aliyeuliza swali kama lako.
Kwa hiyo swali linakuja kwako tena
Unataka uthibitishiwaje?
Kama utaweza mteue member mmoja tuliyefanya mjadala pasipo kuuliza swali hilo akusaidie kukuelewesha
Mi nadhani wewe ndio upo kwenye nafasi kubwa ya kutoa uthibitisho kwsababu kwenye hoja yangu hakuna sehemu nimetaja mashogaNimeamini Wakenya wanasema kweli kwamba Watz wanacho "Kiswahili murefu".
Swali ni rahisi tu; leta ushahidi ulionao unaokufanya useme kwamba gharika la wale Mashoga wa Sodoma na Gomora liliratibiwa na Mungu, haijalishi ni chanzo gani cha ushahidi ulichonacho.
Kama huna jibu au hutaki kunijibu basi uwe wazi tu kuliko ku-beat around the bush.
He has created man from Nutfah (mixed drops of male and female sexual discharge), then behold, this same (man) becomes an open opponent.Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Mi nadhani wewe ndio upo kwenye nafasi kubwa ya kutoa uthibitisho kwsababu kwenye hoja yangu hakuna sehemu nimetaja mashoga
Yawezekana huu mkanganyiko unatokea kwasababu tunaongelea kitu tofauti
Itakuwa hao mashoga kuna sehemu uliwasoma hivyo wewe ndiye mwenge jukumu la kuniambia hizo habari tunaweza kuzipata kwenye chanzo kipi
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe
Ni9neshe kwenye maneno yangu mahali nilipoandika "mashoga"ππ» Hayo ni maneno yako, sasa hebu thibitisha ni wapi Mungu aliratibu gharika la Sodoma na Gomora??-- baada ya hapo ndipo nitakuja kukuthibitishia kwamba hao Wasodoma, (whereas the word sodomy is derived from), na Wagomora walikuwa Mashoga.