Mungu anazungumza na Taifa usiku huu na neno lake nifupi sana ila litakuwa wazi mbele ya uso wa Taifa.
"Hapata mwagika Dam ktk uso wa nchi ila ole ole anaye mwaga dam 😳 ole kwa wanao panga mabaya kwa watu wasio na hatia yes mtafanikiwa ila mkisha maliza fanya hayo MUNGU Taifa la Tanzania na Tanganyika anasema hiyo dam itawarudia kwa sababu mliimwaga kwa hila na Tangu hapo Yeye amekwisha kusema Usimwage dam isiyo na hatia maana Bwana ataitaka kwako na kwa uzao wako.
Mwalimu alisha likabidhi Taifa mbele ya Mungu na hili Taifa lipo chini ya Mungu mwenyewe wala sio mwanadam na ili kuwathibitishia endeleeni kumwaga dam isiyo na hatia.
Mungu anaenda kuleta ishara Mungu anaenda kuleta jambo jipya mimi na wewe hatukulitegemea Dam ilio mwagika ina mlilia na inatafuta hukumu na haki yake.
Sifa na uchawa vita waacha na midomo wazi maana anasema atapita wakati wa usiku mzito kuitekeleza haki kwa walio umizwa na kukatishwa maisha yao pasipo haki.
Yeye ni Mungu, Yeye ndie Muumba wa vyote vinaonekana na visivyo onekana je jina lake lidhihakiwe ? Lahasha lahasha lahasha atajibu atajibu wakati wa usiku sana ili jina lake lotukuzwe na kuogopwa sasa na milele. Amen