Mungu anaongea Nasi Sasa?

Mungu anaongea Nasi Sasa?

Joined
Mar 23, 2025
Posts
16
Reaction score
8
wakati wa usiku usingizi mazito uwajiapo wanadamu.Mungu hunena na sio mara moja.lakini watu hawayatilii maanani yaliyosemwa naye.
Nirudie Mungu anasema kila siku na kila anaitwa mwananadamu.Ukipuuza Sasa ukiwa na pumzi puani. Utaelewa kwa lazima ukiwa haupo tena katika mwili.Ni lazima uone utaelewa tu lakini utakuwa umechelewa.
Anasema nasi kuhusu Taifa ,kuhusu maisha yetu na machaguo yetu tunayoyafanya kila siku.anaongea nasi kuhusu madhara ya Hila na unafiki pamoja na ubinafsi.
Lakini wanadamu wanapuuza kwa sababu wanaamini juu ya elimu zao na pesa zao na ujanja wao na nguvu yoa.Bila kuangalia picha kubwa ya uthamani wa kila mwana wa adamu.
JIulize lini mara ya mwisho umekumbuka ulichokiona usiku na kukisikia ndoto. Ndio hukumbuki! Ni kweli kitunzio cha kumbukumbuka zako kimeingiliwa. Unaishi nje ya taarifa halisi na ukweli kuhusu maisha Yako.
Inaonekana umefanikiwa unaoneka unaheshima lakini ndani usiku kitandani peke Yako Unatamani jua lingewaka usiku kwa sababu unaona Giza.
2025????…..
 
Kama Mungu anapambana kuongea na binadamu na bado binadamu hatilii maanani manake huyo mungu amefeli ,ameshindwa Maana yake huyo mungu hayupo ,ni stori za za kufikirika
 
Kama Mungu anapambana kuongea na binadamu na bado binadamu hatilii maanani manake huyo mungu amefeli ,ameshindwa Maana yake huyo mungu hayupo ,ni stori za za kufikirika
WAhenga nao je? Asiye funzwa na mamaye hiyo sio mwanawe?
 
mawaaazoo-pic.jpg
Deusdedith-Soka-e1724914476663.jpg
kibao.jpg
 
Kama Mungu anapambana kuongea na binadamu na bado binadamu hatilii maanani manake huyo mungu amefeli ,ameshindwa Maana yake huyo mungu hayupo ,ni stori za za kufikirika
Mungu wa mbinguni hajawahi kushindwa.
Labda Mungu wenu wa huko kwa waganga wa kienyeji, wachawi na majini.
 
Mungu wa mbinguni hajawahi kushindwa.
Labda Mungu wenu wa huko kwa waganga wa kienyeji, wachawi na majini.
Elewa mada ,anaongea na watu lakini haeleweki ,so ameshindwa jinsi gani ya kuongea na hao watu,ajaribu njia nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom