Mungu anajibu maombi ...

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,208
NI USEMI WA DADA MMOJA ALIPENDANA NA PILOT WA NDEGE MOJA UARABUNI INAYOLALA HAPA DAR

WALIPOKUTANA HOTELN DADA YUKO NA YAKE REST...WENGINE MTAITA CHANGU LAKINI MZUNGU AMEJICHOKEA SERENA AKAMPENDA BIBIE

BAADA YA MAPENZI MOTOMOTO HUYU DADA P AKANZA KUJA NA RAFIKI WAKE MPENZI DADA R..BADAAE YULE PILOT AKAMPA MIMBA BIBIEDADA P...AKIWA NA MIMBA SHETANI AKAMPITIA AKAMPENDA YULE DADA R

WAPENDWA YULE MZUNGU MAPENZI YAKAKOLEA YULE DADA P AKAANZA KUSALI KULIA..TUKAMWAMBIA HUYU N YUSUF USISHANGAE..MTOTO ANAEKUJA

HUKU NYUMA DADA R AKAANZA KUMSEMA DADA P OOHH MIMBA SIO YA PILOT YA BFRIEND WAKE WA ZAMAN..DADAETU AKAMLILIQ MUNGU UKWELI PILOT AKAMWACHA DADA P AKUMJALI TENA..NOV ALIFANIKIWA KUZA MTOTO WA KIZUNGU PURE

MUNGU AKAMPQ NGUVU HUKU NYUMA DADA R AKAPATA MIMBA..MENGI YALISEMWA DADA P AKASALI AKASALI SANA ...MZUNGU AKAJUA AMEPATA...

KIUKWELI LEO MUNGU AMESHUKA NILIKUWA WA KWANZA KWENDA KUMWONA MTOTO WA KIZUNGU AGHAKAN HOSPT..NDGU JAMAA NA MARAFIKI AWAKUAMINI KILICHOTOKA

MTOTO N PURE BLACK HUKU MAMA AKISISITIZA KWA WENZIE MIMBA YA MZUNGU AJUI KILICHOTOKEA...

WABAYA AWAKUSITA KURUSHA PICHA KWA MKE MWENZA DADA P HONGERA KWA MTOTO MWINGINE WA KIZUNGU..MZUNGU AKATUPIWA WHATSUP PICHA YA MWANAE AMEKUJA LEO LOH

IKAJIBIWA CUFK...

NINI NAWAASA MADADA PAMOJA NA UPENDO NA URAFIKI MKUBWA MLIOA NAO KWA MARAFIKI ZENU MSIAMINI SANA KUWAACHA NA WAUME AMA BFRIEND ZENU..NA PENGINE UNAHISI HUYUU MCHECHETO WALA USIMKARIBISHE MUMEO AMJUE...URAFIKI N ZAIDI YA MAPENZI...

PILOT WA WATU ANAKUJA DAR JTANO IJAYO KUHAKIKI MTOTOWAKE WA KISOLO..LOH

MUNGU AWATIE NGUVU WOTE MLIOSALITIWA MAPENZI YENU NA MARAFIKI ZANU

DADA P N DADA WA KARIBU DADA TUMEKUA NAE

DADA R PIA DADA TUMEKUWA NAO TUMECHEZA NAO NA HATA YALIOTOKEA SIKUTAKA KUAMINI ZAIDI YA KUSEMA MUNGU TENDA MIUJIZA NA KAMA WA KIZUNGU TOA BLACK WAKUJUE WE WE NI UPO AMBAE UPO

USIKU MWEMA WOTE
 
nahisi mmoja wapo alishawahi gombana na yule blogger maarufu anyway wamkodi mtoto wa kizungu maana hamna namna
 
Huyo pilot asije akatupotezea ndege tu kama ile ya Malaysia.
Maana maumivu ya kubambikiwa mtoto ni hatari.
 
Dah mkuu.mbona bandiko lako linatumia umeme mwingi sana kichwani mwangu.??

Hola.
 
Huyu mzungu atadondosha ndege kwakweli inamana mtt ajachukua hata kweli kdg ila wadd nyie noma sn heshima kwenu
 
NI USEMI WA DADA MMOJA ALIPENDANA NA PILOT WA NDEGE MOJA UARABUNI INAYOLALA HAPA DAR

WALIPOKUTANA HOTELN DADA YUKO NA YAKE REST...WENGINE MTAITA CHANGU LAKINI MZUNGU AMEJICHOKEA SERENA AKAMPENDA BIBIE

BAADA YA MAPENZI MOTOMOTO HUYU DADA P AKANZA KUJA NA RAFIKI WAKE MPENZI DADA R..BADAAE YULE PILOT AKAMPA MIMBA BIBIEDADA P...AKIWA NA MIMBA SHETANI AKAMPITIA AKAMPENDA YULE DADA R

WAPENDWA YULE MZUNGU MAPENZI YAKAKOLEA YULE DADA P AKAANZA KUSALI KULIA..TUKAMWAMBIA HUYU N YUSUF USISHANGAE..MTOTO ANAEKUJA

HUKU NYUMA DADA R AKAANZA KUMSEMA DADA P OOHH MIMBA SIO YA PILOT YA BFRIEND WAKE WA ZAMAN..DADAETU AKAMLILIQ MUNGU UKWELI PILOT AKAMWACHA DADA P AKUMJALI TENA..NOV ALIFANIKIWA KUZA MTOTO WA KIZUNGU PURE

MUNGU AKAMPQ NGUVU HUKU NYUMA DADA R AKAPATA MIMBA..MENGI YALISEMWA DADA P AKASALI AKASALI SANA ...MZUNGU AKAJUA AMEPATA...

KIUKWELI LEO MUNGU AMESHUKA NILIKUWA WA KWANZA KWENDA KUMWONA MTOTO WA KIZUNGU AGHAKAN HOSPT..NDGU JAMAA NA MARAFIKI AWAKUAMINI KILICHOTOKA

MTOTO N PURE BLACK HUKU MAMA AKISISITIZA KWA WENZIE MIMBA YA MZUNGU AJUI KILICHOTOKEA...

WABAYA AWAKUSITA KURUSHA PICHA KWA MKE MWENZA DADA P HONGERA KWA MTOTO MWINGINE WA KIZUNGU..MZUNGU AKATUPIWA WHATSUP PICHA YA MWANAE AMEKUJA LEO LOH

IKAJIBIWA CUFK...

NINI NAWAASA MADADA PAMOJA NA UPENDO NA URAFIKI MKUBWA MLIOA NAO KWA MARAFIKI ZENU MSIAMINI SANA KUWAACHA NA WAUME AMA BFRIEND ZENU..NA PENGINE UNAHISI HUYUU MCHECHETO WALA USIMKARIBISHE MUMEO AMJUE...URAFIKI N ZAIDI YA MAPENZI...

PILOT WA WATU ANAKUJA DAR JTANO IJAYO KUHAKIKI MTOTOWAKE WA KISOLO..LOH

MUNGU AWATIE NGUVU WOTE MLIOSALITIWA MAPENZI YENU NA MARAFIKI ZANU

DADA P N DADA WA KARIBU DADA TUMEKUA NAE

DADA R PIA DADA TUMEKUWA NAO TUMECHEZA NAO NA HATA YALIOTOKEA SIKUTAKA KUAMINI ZAIDI YA KUSEMA MUNGU TENDA MIUJIZA NA KAMA WA KIZUNGU TOA BLACK WAKUJUE WE WE NI UPO AMBAE UPO

USIKU MWEMA WOTE
Duh pididy kumbe unalijua vizuri neno la Mungu, hongera sana.
 
Back
Top Bottom