MUNGU ana huruma sana ni mwema sana

MUNGU ana huruma sana ni mwema sana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,961
Reaction score
42,168
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Nimekaa tu hapa nimeutafakari wema wa MUNGU MWENYEZI hasa kwetu sisi vijana

Nimeona kabisa kuwa MUNGU amekuwa ni mwema sana juu yetu

Amekuwa akitusamehe na kutuokoa katikati ya maovu na ubaya

Ogopa wapinga MUNGU marafiki zangu wengi ni wapinga MUNGU

Endelea kumtumainia BWANA MUNGU wa majeshi

Usichoke wala usikate tamaa

1 wakorintho 10:13

Mbalikiwe wote ndugu zangu wa jamiiforum

BWANA awabariki na awatie nguvu


SAYUNI BOY
 
Umeeleweka dhambi zako zote aongezewe Ndugai uko alipo..!! 🥲
Hapana MUNGU ni wa huruma na rehema, amsamehe sana mtumish Job yustino ndugai apumzike kwa aman
Dhambi zangu zitaoshwa kwa damu ya YESU

Sema huyu mgerasi min -me ananiumiza kichwa sana kwanini haamini uwepo wa MUNGU?
 
Amen, Mungu ni mwema sana mkuu
Wema wake ni mkuu sana juu yetu

Tuendelee kutumuania juu yake hata kama tunapitia hali ngumu kiasi gani kama utekaji na demokrasia ya nchi yetu kubakwa na uchumi wetu kuyumba

Ila BWANA atatenda makuu siku moja maana hakuna shida kubwa mbele ya MUNGU
 
Mungu ana huruma sana, kuna ndugu alikuwa freemason alipokosea masharti akaambiwa atoe ndugu zake wawili wa damu ndiyo akaona shetani hana huruma na lengo lake si kuona binadamu wanafanikiwa japo anawadanganya kwa kuwapa hela na mali ila ana malengo yake hapo akaona kwa Mungu ni bora zaidi na Mungu ana huruma sana isiyo na kifani wala mfano.
 
Wema wake ni mkuu sana juu yetu

Tuendelee kutumuania juu yake hata kama tunapitia hali ngumu kiasi gani kama utekaji na demokrasia ya nchi yetu kubakwa na uchumi wetu kuyumba

Ila BWANA atatenda makuu siku moja maana hakuna shida kubwa mbele ya MUNGU
Yani mimi kuto amini wewe uumie kichwa?
 
Back
Top Bottom