Mungu amsikilize nani?

Mungu amsikilize nani?

hapo ndipo mungu atakapohitaji quantum physics.

Katika quantum physics inawezekana goli likafungwa kwa penati na kipa akazuia penati hiyohiyo vilevile.

Lakini bottom line mungu ambaye hayupo hawezi kumsikiliza mtu.

dah! Natamani ningepewa wanafunzi kama wewe watano tu darasani..........
 
Atawaadhibu wote wawili vikali. Unajua kucheza mpira ni dhambi?

Wengi yawezekana hamjui, lakini acha niwakumbushe kuwa kumpiga mwenzio chenga lazima umdanganye kwamba unaenda huku, lkn badala yake unaenda the other side. UONGO unavunja amri ya ngapi, kila mtu anajua

Nimeipenda !
You have made my day
 
Back
Top Bottom