Mungu amenipa uwezo huu wa ajabu juu ya wanawake

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Sep 17, 2021
316
831
Nisipopeteze mda wakuu sipo hapa kujisifia sana ila nimepewa vipaji vya ajabu sana pengine kuliko binadamu yoyote na mungu,

1. Nimepewa uwezo wa kukontrol ndoto na kuamua ndoto gani niiote usiku.

2. Nimepewa uwezo wa kuzisemesha nafsi za wanawake kwa kutumia picha zao tu, hapa ndio nipaongelea sana, Mimi demu anaponitumia picha hau nikiiona picha ya demu mtandaoni basi naichukua hiyo picha na kuitizama kwa dk 10 machoni halafu naiambia kitu ninachotaka na bila shuruti demu anarespond.

Kuna demu mmoja aliwahi kunisumbua kutokuja ghetto basi nilichukua picha yake nikaisemesha kesho njoo mwenyewe ghetto mda flani hauwezi amini kweli demu kesho alikuja ghetto mwenyewe, Nimefanya mazoezi haya kwa mademu 10

3. Nimepewa uwezo wa kujua unachotaka kuongea, Kwa mfano umenipigia simu unataka kuniambia kitu Mimi nakuwa tayari najua kabla haujaanza kuniambia, Mamaangu alidiriki hadi kuwa ananisema kutokana na tabia hii,

4. Nimepewa uwezo wa kujua future kipi kinatokea mbele, Nakumbuka niliwahi kumuokoa kakaangu asipate ajali, alikuwa anataka kwenda mwanza siku hiyo nilimwambia kaka kesho usisafiri nimeona gari litapata ajali na kweli kesho imefika usiku tumesikia lile basi limepata ajari na kuuua abiria kumi.

5. Kwenye sex uwa nachukua dk 40 kukojoa goli la kwanza, Hapa nitapaelezea Mimi na uwezo wa kukontoo sex feeling nina weza nikaasema Leo huyu demu nimpige vitatu kila bao namwaga dk 40 kwa 40 na kweli nafanya hivyo bila kutumia kitu chochote.
 
Babu yako hajambo ila umetulisha matango pori
hapana bibianguu ni kweli nimemacho halafu nimeona unampenda sana babu, mwambie babu aache kuongea na simu sana, ww demi nimeona unapenda sana kucheka mno, pole kwa mawazo uliyonayo punguza kuwaza sana
 
Back
Top Bottom