Mungu Amekufa

Mungu Amekufa

God is Dead

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
1,313
Reaction score
1,529
Ukipita mtaani utasikia walokole wakitamba, yaani haya maisha bila Mungu sijui yangekuaje,

Haya madai ya kwamba mungu ndio anasimamia amani ya maisha ya huyu mnyama ni ya Nani, Amekufa Amekufa Amekufa

Nimlete kwenu, mwali mpya, mwali wa asili, mwali asiyejali kuhusu uongo na ukweli, mwali huyu kinachomtia kinyaa ni ujinga,

Mwali ni mpya, mwali anasomeka, sio Kama yule mwali wa ukoo wa daudi, huyu ametoka kwa baba kweli, uzao wake ndio unachipuka kutoka ubavu wake wa fahamu,

Bado hajazaa vichaa, wala mashetani,
Hana laana maana anatoka kwa baba mwenye njama, mwali ataishi milele na Jina lake litabarikiwa na vizazi vyote

Mwali hana makuu, sio mbaguzi, anapokea mapokeo yote, mwali ndio kwanza mbichi, huku kwetu ni wachache wanaweza kulipia mahari yake kwa sasa, na wengi waliofanikiwa kumlipia bado anawasumbua, niwakumbushe hapendi ujinga,

Kwa magharibi, mwali anatamba, kuna jamaa alikuwa Hana mwili lakini wazee walimpa mwali na akaheshimiwa na tutamheshimu milele, kwani jamaa alimzalisha mwali, pia huyu mwali sifa yake nyingine, hachagui jinsia kupenda, wala rangi ya mwili, anapenda yeyote, tajiri na masikini Kama wasemavyo waswahili,

Ntarudi kumpa sifa mwali mpya, maana yeye ndio mwali wa kweli, mwali kutoka kwa baba, aliyezaliwa Kama mwana, kwaajili ya wanadamu wote,

Mwali huyu sifa zake ni pamoja na kukomboa wanadamu kutoka kwenye dhambi ya asili, dhambi inayosumbua wanyama wote, ambao Mpaka wawe na macho ndio waone
 
Kusema kweli hii nikisema ni mnemba nitakuwa nimekuonea!, hii ni punguani kabisa!.
 
Gott your people don't understand what I say....
 
Mpumbavu asema moyoni hakuna Mungu, nazo kuni za jehanam zasema Mungu amekufa!
Wependwa katika bwana tumsifu Yesu kristo

Sauti ya walokole
 
Mungu na Amani ya Maisha – Unahoji imani ya kwamba Mungu ndiye anayeamua maisha ya mwanadamu. Hili linaweza kumaanisha kuwa unataka kuweka akili huru kutoka kwenye mitazamo ya kidini inayodai kuwa kila kitu kinadhibitiwa na nguvu ya juu.

Mwali Mpya – Maarifa Mapya – Huyu mwali unayemtaja si wa ukoo wa Daudi (ambayo ni rejea kwa dini za Kiyahudi na Kikristo), bali anatokana na fahamu na akili ya kweli. Hii inaweza kumaanisha kuwa maarifa, siyo imani ya urithi, ndiyo yanayomkomboa mwanadamu.

Mwali Hana Laana – Hana Ubaguzi – Hii inaweza kumaanisha kuwa maarifa hayana upendeleo wa kidini, kijamii, au wa rangi, na kwamba ukweli unapaswa kupokelewa na kila mtu bila upendeleo wa kihistoria au imani za mababu.

Mwali wa Magharibi – Unaonekana kutaja mtu wa Magharibi ambaye wazee walimpa mwali na akaheshimiwa. Hii inaweza kuwa rejea kwa wataalamu wa sayansi, waandishi wa falsafa, au hata viongozi wa fikra kama Nietzsche, Darwin, au hata Leto wa Dune, ambao walikuza mawazo mapya yasiyofungamana na dini au tamaduni fulani.

Mwali wa Milele – Ukombozi kutoka Dhambi ya Asili – Katika dini, dhambi ya asili ni kosa la mwanadamu tangu enzi za Edeni. Lakini hapa, unaonekana kuashiria kuwa dhambi ya mwanadamu siyo kosa la kiroho, bali ni ujinga au kutojua. Hii ina maana kuwa ukombozi wa mwanadamu unatokana na maarifa, siyo kupitia imani ya kidini au dhana za kiroho.

Kwa Ufupi:
Andiko lako linapinga mfumo wa imani uliopo na kupendekeza kuwa maarifa ya kweli ndiyo njia ya uhuru wa akili. Unapendekeza kuwa ukweli mpya haupaswi kupimwa kwa misingi ya imani za zamani, bali kwa uwezo wake wa kuleta maendeleo na kufungua akili za watu.

Ikiwa lengo lako ni kuleta mwamko wa fikra mpya, unaweza kuboresha ujumbe kwa kuufanya uwe rahisi kueleweka kwa hadhira pana, huku ukihifadhi kina cha mawaz
o yako.

Akili bandia inaelewa vipi kuliko Hawa ng'ombe na mbuzi wa Eden?
 
Mawazo mazuri sana.
 
Anaishi au anaishia😂
Mungu ni wewe mungu nikila kitu kinacho ishi ndiyo maana anasema nipo Kila mahali nakutazama hata tukii acha biblia bado kuna mambo mengi yanatuambia mungu yupo

Hasta ukiangalia jinsi Dunia ilivyo umbwa kazi za jua na mwezi,msimu ya miaka na faida zake Kwa mazingila, vyote hivi vinatuambia yupo muumbaji designer ambaye ni mungu
 
During the time of enlightenment, Frederick Nitzche said " God is dead " reason replaced faith.
 
Back
Top Bottom