snowhite hujafanikiwa,unatetea kitu kisichokua na maana.Wewe unaweza kwenda kwenye arobaini na ya mtoto wa rafiki yako na mwanao wa miaka mi 5,je does that mean anything?I dont think so!Hujaniambi mahusiano ya matukio haya mawili mpaka huyo jamaa adai eti "Mungu" alipanga,kivipi?