Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
nadhani alimaanisha "yenye heri duniani"Ndg yangu makosa huwa hayakosekani ktk typing lkn ktk hili umekosea sana mkuu...muombe radhi huyu ajuza maana hapa hatujui km ndivyo ulivyodhamiria ama ni bahati mbaya tu.
Bila shaka amegonga mia moja na kitu huyu.Ana miaka mingapi hapo alipo
Mods samahani mnisaidie hapo kwenye nyege iwe yenye. Samahani. Pia tunaomba mtuwekee namna ya kuhariri kichwa cha habari. Wabillah Tawfiiq.
Bila shaka amegonga mia moja na kitu huyu.
Kweli mkuu sasa mods hawajatukea option ya kuhariri tittle .mkuu urekebishiwe kichwa cha habari, unamtukana bibi!
Unajua "unavyopanua ndio watu wanatamani" Prof Tibaijuka.
Kwa jinsi alivyo na umri wake unamtakia miaka mingi ili atese wajukuu zake?