Mungu akisema ndio hakuna binadamu wa kupinga

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Binadam huwa tunapitia katika misukosuko mingi wakati wa kusaka maisha, kuna kutereza na kuanguka lakini wanaume na wenye hurka za kiume huwa tunasimama tunafuta vumbi na kuendelea na safari.

Mda mwingine huwa tunaleta misuguano katika ndoa zetu hasa tunapoamua kujitupa mbali kutafuta maisha kama mimi hapa lakini hatuna budi kusimama na kuyashinda maisha maana hatuwezi tukabaki nyumbani huku tukiangaliana usoni.

Mungu ametenda na ataendelea kutenda maana yeye ni muweza yeye ni yeye yule jana leo na hata milele yote sitaangalia binadam watasema nini ee Mwenyezi nisaidie
 
umenena vyema Allah akusimamie katika shughuli zako za kila siku.
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mungu si mwanadmu hata aseme uongo au amfanyie mtu kusudi. Mungu haongwi kikombe cha maziwa wala glass ya wisky. Mungu ni Mungu tu na atabaki kuwa Mungu daima. Mungu hawai wala hachelewi ahadi zake kwetu ni za milele na anatuwazia mema hivyo tumtegemea yeye pekee.
 
Amina ubarikiwe sana
 
Kweli kabisa,
 
Siku kumbuka jaribu lina mlango mmoja tu! Lakn ushindi unamilango saba! Ukiona mmoja umefungwa iko sita kwa ajili yako!

Unapoona shetani anakaribia kushinda ndipo Mungu hujitokeza! Mungu wetu hawaii wala hachelewi! KILA JAMBO LINA WAKATI WAKE
 
Hili jukwaa ukilitizama juujuu unawezazani nila watu wenye mizaha na utani lakini kumbe lina watu wenye upeo wa hari ya juu nimeligundua hili baada ya kutoa post zangu nyingi za sirias bila mizaha ndipo nilipogundua na sijajuta kuwa kwenye jukwaa hili
 
Binadam huwa tunapitia katika misukosuko mingi wakati wa kusaka maisha, kuna kutereza na kuanguka lakini wanaume na wenye hurka za kiume huwa tunasimama tunafuta vumbi na kuendelea na safari.

Mda mwingine huwa tunaleta misuguano katika ndoa zetu hasa tunapoamua kujitupa mbali kutafuta maisha kama mimi hapa lakini hatuna budi kusimama na kuyashinda maisha maana hatuwezi tukabaki nyumbani huku tukiangaliana usoni.

Mungu ametenda na ataendelea kutenda maana yeye ni muweza yeye ni yeye yule jana leo na hata milele yote sitaangalia binadam watasema nini ee Mwenyezi nisaidie

Ninalibariki Neno Hili Kwa Mamlaka Ya Jina La Yesu Kristo, Ninalipiga Muhuri Wa Damu Ya Yesu Liwe Ni Nuru Kwa Kila Alisomaye, Kwa Jina La Yesu Kristo, Nimeomba. Amen
 
Mungu wetu anajibu kwa wakat sahihi......na ajibu kila hitaji la moyo wako...Amen
 
Amen....mungu akubariki sana, maisha yanasafari ndefu sana kuna milima na mabonde mungu ndie muwenza wa yote katika safari ya maisha kwa kila binadamu. uvumilivu ndio msingi wa mafanikio.
 
hujaeleweka vizuri, ebu sema kilichokusibu mkuu
 
Back
Top Bottom