Munde Tambwe wa viti maalum CCM kimeo

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Huyu MWANAMIPASHO CCM wamemtoa wapi huyu? anasifia mambo ya barabara za lami,Shule,Mabwawa na soon watawekewa barabara ya lami Nzega-Tabora ndo anaona leo wakati ni BASIC NEEDS... Magamba wana KAZI...
 
Amenichefua huyo! Ndiyo maana inabidi baadhi yetu tubakie kufanya uchambuzi tu juu ya siasa (na si kuwa wanasiasa) maana tutampasua mtu kichwa Bungeni. Unadhania ningekuwa Bungeni ningemfanyia nini huyu mwanamke zaidi ya kumtemea mate usoni? Bro. ukiona watu wanajitoa muhanga usiwashangae....!! Baadhi ya wasashabikia mambo wanakera sana. Anavyozungumza huyu mchumia tumbo utadhani kaokotwa akiwa amenyofolewa ubongo na kujazwa kamasi ndani ya kichwa. Wabunge wengine wa CCM wanaweza kusababisha mtu kutenda yasiyosadikika.
 
magamba Bungeni wamegawana kazi,kuna wakupiga vigelegele,kuna wakusifia kila kitu.
 
Hawana cha maana cha kuongea......
hawajui mahitaji ya lazima wala vipaombele..hajui wananchi wanalipa kodi....
wanafikiria kwenda kuomba tuuuuuu......damn!
 
Huyu MWANAMIPASHO CCM wamemtoa wapi huyu? anasifia mambo ya barabara za lami,Shule,Mabwawa na soon watawekewa barabara ya lami Nzega-Tabora ndo anaona leo wakati ni BASIC NEEDS... Magamba wana KAZI...

Zitto akisifia barabara na daraja la malagarasi sawa, munde akisifia barabara ametoka wapi, hii ni yanga na simba.
 
Back
Top Bottom