Mumeo akibaka/akidhalilisha kijinsia, utafanya nini?

mmh ntaacha sheria ifate mkondo
stamtetea kwa sababu ni mume wang
nitamtetea yule asiye na mtetez ....mtoto aliyebakwa
sasa km ameanza kubaka nje uko kuna garanteee gan hatakuja kubaka wanangu siku nikienda peramiho kumsalimia nachihauli...??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom