Mume wangu nitaishi nae joke!

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Hapo tanga kulikuwa kuna mtu na mke wake wameoana, ila ndoa ile ilikuwa haina amani, mke wa jamaa huyo alilalamika mateso ktk yake hiyo na kudai talaka kila siku. Sababu za ugomvi huo kati ya mume na mke ulikuwa eti kwa sababu mume wake alikuwa ana MBOO mbili, mke alilalama kwa majirani kuwa anateseka na anataka aondoke mana haiwezekani awe anahudumia MBOO mbili,"mi nimechoka siwezi mboo mbili nataka moja inanitosha". Sasa siku moja akiwa nyumbani akasikia mtu anagonga hodi(Mgeni), hodi mama juma, karibu. Akaulza nimemkuta mumeo, hapana. Sasa akija mwambie MBOO 4 alikuja kutoa taarifa kwamba MBOO 7 kafariki na mazishi yatafanyika kwa MBOO 9. Jamaa akaaga na kuondoka. Baada ya pale yule mama akapiga magoti na kushukuru akisema, jamani bora niendele kuishi na mume wangu MBOO 2, yaani nimestka MBOO 7, MBOO 9. Nampenda mume wangu mboo mbili sitaki talaka.
 
Back
Top Bottom