Hiyo hali ni ya muda gani? yaani ameanza kubadirika toka muda gani?
Upunguze kuvaa mavitenge ovyo.....mtege kidogo,vile ulivyokua unafanya wakati wa uchumba,uendelee navyo....na usishangae huyo mumeo akienda game za mchangani anapiga goli nne tena hachoki.....!!!!
Kwa maana hiyo umeishi na hilo tatizo kwa zaidi ya miaka 5? Hadi sasa umechukua hatua gani katika kumsaidia mwenzio?Hali hii ilianza muda mfupi tu baada ya kufunga ndoa,kwa kweli nimejaribu kila ninaloliweza lakini hali haibadiliki.ninahisi uvumilivu umeanza kupungua ndio maana ninaomba ushauri wa ziada.