badshah
Member
- Mar 16, 2013
- 51
- 33
Ndani ya nyumba moja hivi mtaa fulani yalisikika mazungumzo ya wanandoa wawili na mazungumzo yao yakawa kama ifuatavyo:
Mke: Eh Mume wangu naona siku hizi umekuwa msanii, haya hebu niambie unachora nini hapo.
Mume: Nachora picha ya Mungu.
Mke: Nini?!! Lakini si hakuna hata mtu mmoja anayemjua mungu?
Mume: watamjua tu nikimaliza kuchora hapa!!
Mke: mmh Mume wangu si Bure utakuwa umerogwa wewe!!
Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo