Mume wangu kiboko

si useme tu ni wewe mwenyewe! kwani dhambi kugegeda kila siku! shida ni pale tu performance is 100% mutual enjoyment!
 
Ila inachosha kufanya haya mambo kila siku jamani mbona kama siku nyingine mood huwa haipo hata ya kushikwa
 
Hivi mume anapewa au anajichukulia hebu tuelewane kwanza
 
Duh...huyo jamaa amesahau kuwa too much is harmful...na akumbuke kuwa yeye ni mwanadamu na siyo jogoo...ndege ni wako unamshikia manati wa nini...kiasi tu kama vile glass ya wine sebuleni...taratiiibu...fujo za nini unataka kumaliza bufee yote wakati sherehe ni yako.
 
EPUKA MICHEPUKO, BAKI NJIA KUU!!!!
Gegeda hadi itoke CHECHE!!!!
 
...akitaka kila siku (shida)....kwa wiki mara moja...(taaabu)...mara moja kwa mwezi...(kizungumkuti)...Nini maana ya kusogeza huduma karibu?....(it means self service) wenzio wanaihitaji ila hawaipati hata ya kununua

Ukisikia jina la mtu linasadifu tabia ya huyo mtu ni kama hii.

Lighondi
 

Haina tatizo kiafya ndo maana binadamu hatunaga mating seasons kama mbwa.Just do it as you can.

Wasiwasi wangu hiyo K itakuwa imeota mpaka sugu.
 
Kilichompeleka kwa mwanaume ni gegedo tu mwache agegedwe.
 

Kila siku? Mmh, hata zile siku zao jamaa yupo tu! Hiyo mechanism Mungu aliweka ili wote wawili wapate kupumua. Inakuwa kama ku charge battery. Baada ya hapo vi bar vyote vinakuwa vipo ni kazi moja tu.
 
Nothing is forever enjoy it while it last atakopoanza kusimama kwa kusuasua hamkawii kutuletea thread humu ooh tunakula chips sna hatufanyi mazoezi vitambi magegedo yamelegea kimoja tu anakimbilia ukitani hawa viumbe wakike dah ukipiga kidogo kazi ukipiga haswa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…