Mume wangu karogwa.

Pole sana, ila kaza Moyo yataisha ....mganga nibinadamu Kama wewe anamuomba mungu,ni bora ukamuomba mungu kwa nia safi na atakupa mumeo Kama Ana kheir na wewe...
 

uamusho hadi JF mnachafua hali ya hewa.
 
Hahaha. Huyu Mungu huyu! Yaani kwanza asitoe namba yake. Lakini akupm wewe ili umuelekeze jinsi ya kuomba rehema. Lakini at the same time kama asipoomba rehema, basi Mungu huyu huyu atamuongezea mumewe nyumba ndogo hadi ajisafishe.

Huyu ni Mungu ama mungu?
 

Kama THE BOSS alivyosema, huu ni uwanja wa kungwi mzoefu lara1 kwani ushauri aliotoa ni bora sana ila cha kuongeza hapa namshauri dada uongeze mapenzi mara mbili zaidi ya awali. Epuka kuishi kwa mazoea.
 
Plan A.Tamka ukimaanisha kuwa hizo nguvu za uchawi zimeshindwa na uamin atachange.

Plan B.Mtafute uyo mdada kwa majesh ya mashostito vzabizabi wa mjini, mpe kubwa za kufa m2, nipm nkupe kampan,buureee!

Plan C. Mpe dawa ya kuharisha ya kimasai mumeo aharishe ad atie akili! Yan akikujb jeuri, mkomeshee ahare hasa akiwa hana dalili ya kurud home.

Plan D. Washirikishe wanamaombi na wazee wa kanisani,waombee nguo yake wavunje nguvu zote za giza.

*AKILI KICHWANI MWAKO NA MUNGU AKUONGOZE*
 
Kinachomtokea mumeo yeye mwenyewe hakijui, kama kweli unampenda msaidie. Hakuna mwanaume anayeweza kuacha kumpenda mkewe mjamzito na baadae akiwa na mtoto halafu ampende mwanamke mwingine mwenye watoto watatu wasio wake. Hajitambui huyo, kachukuliwa msukule. Hata kama humpendi tena msaidie tu kama ambavyo ungemsaidia mtu yeyote yule. Kama unaamini ushirikina upo, nenda kwa mganga. Kama hauamini nenda kwa maombi. Kama hauamini vyote chukua hatua za makusudi kuhakikisha mumeo anapigika kifedha, huyo mwanamke atamwacha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…