Mume wangu kantongoza

Mbona yeye kakubali kutongozwa? Wote ni wale wale hivyo akubali tu.
Si unajua tena wadada mnapenda kutongozwa, kudanganywa, kupewa maneno matamu! Mi nnaona huyo alikuwa anaplay role yake kama mwanamke! As long as hakukubali, basi yupo kwenye safe side!
 
Si unajua tena wadada mnapenda kutongozwa, kudanganywa, kupewa maneno matamu! Mi nnaona huyo alikuwa anaplay role yake kama mwanamke! As long as hakukubali, basi yupo kwenye safe side!

Wanaume nao wanapenda kutongoza na kudanganya hivyo huyo jamaa alikua ana-play role yake kama mwanaume.
 
Wanaume nao wanapenda kutongoza na kudanganya hivyo huyo jamaa alikua ana-play role yake kama mwanaume.

Lizzy, naona unajaribu kujitetea sana, yaeleka ushapigwa tukio kama hili..lol!
 
Last edited by a moderator:
Lizzy, naona unajaribu kujitetea sana, yaeleka ushapigwa tukio kama hili..lol!

Najitetea kwa kusema kwamba hata huyo mama ana makosa vile vile? Siwezi kujitetea kwenye kesi za watu na sijawahi kuentertain tongozo nikiwa kwenyw mahusiano.
 
Last edited by a moderator:
huyu mumeo ni jinga kabisa!
na ingekuwa kweli unapigwa angefanyaje!
vtu vingine si vya kujalibu bwana!

Hata mie hadi sasa najiuliza sipati picha. Of course baadae alijieleza nkamuelewa, ila dah! Noma
 
Karibu tena bombu, siku nyingi sijakusikia.
Kama ulifahamu kuwa kuna kamchezo, ingekuwa vizuri kama ungemshrikisha huyo mume wako cuz kama aliamua kukufanyia hivyo, basi ujeue hakuamini na kuvitu alitaka kuprove!

Asante my dear Rejao, nlikuwa nalea mie nilitaka nimjue huyo mtu, kwani sikuwa na uhakika zaidi kuwa ni yeye au ni mtu ananchezea akili.
 
Last edited by a moderator:
Na wewe mtongoze!(just joking)..
Take it easy,ila mwambie asirudie next time,msamehe na maisha yaendelee..

Asante Purple, ujue ndoa yetu ni bado changa, so nlimuelewa. In short tulielewana, lol
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa anakutafutia visa vya kukufumania ili akupige chini.
 
Yani kama me ndio mumeo nakumwaga mazima unaonekana ni kicheche.

Eeh! We kaka/dada ukicheche wangu ni upi hapo jamani? Mie nlitamani tu kumjua huyo anaenitongoza kwa kudai kuwa mie ni mpenz wake. Na mind you huyu mtu alionekana kunifahamu vizuri. Sasa sijui kwa nini umenihukumu hivyo
 
Sasa ulighafilika nini? unajuwa maana ya kughafilika lakini au umeliweka tu hilo neno?

Kughafilika ni kusahau, sasa wewe hapo ulimaanisha ulighafilika (sahau) nini?

Dah! Ribosome mbona umekuwa mkali hivyo? Basi ntakulipa kwa kunieleleza, kiswahili kinanisumbua, anyways asante kwa mchango, ntatafuta the right word hapo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ulighafilika nini? unajuwa maana ya kughafilika lakini au umeliweka tu hilo neno?

Kughafilika ni kusahau, sasa wewe hapo ulimaanisha ulighafilika (sahau) nini?

kwa bahati mbaya umekaririshwa kughalifika ni kusahau rudi shule au funua kamusi uonealikuwa na maana gani kuandika hivyo!
 
Jamani hata waswahili husema kubali mwito, kataa kitendo. Mie nina kosa gani hapo? Nilitamani tu kumjua huyo mtu anayejiita ni mpenz wangu. Na ndipo nkapigwa na butwaa kumbe ni mume wangu mwenyewe. Na bahati nzuri nlimwambia tukutane muda wa lunch jirani na ofisini kwangu
 
inaonekana we unaye mtu wa nje coz ulipopanga kukutanae kivip na kama asingekuwa mumeo ingekuaje?
 
hakuamini hata kidogo! Sasa inabidi na wewe ujifanye kama mnaachana hivi??

Mh! Na akikubali tuachane jee? Lol, wewe hunipendi rafiki. Alisema eti alitaka kunifundisha jinsi wanaume wanafanya ili kuwapata wasichana kwa kuhifanya wanawajua
 
Karibu tena bombu, siku nyingi sijakusikia.
Kama ulifahamu kuwa kuna kamchezo, ingekuwa vizuri kama ungemshrikisha huyo mume wako cuz kama aliamua kukufanyia hivyo, basi ujeue hakuamini na kuvitu alitaka kuprove!

hapo nakubaliana na wewe...kapata ile msg cha kwanza angemwambia mumewe ila alikaa kimya akaamua kwenda mwenyewe rose garden..mh huyu alikua anataka huyuu...ila simlaumu..wako wengi wa namna hiyo
 
Sasa. . . . ?MKUBALIE.

Hahaa, lizzy bwana you never seize to amaze me with your replies. Tatizo movie yenyewe ndo ishafika mwisho, ila imeacha damage kwenye mahusiano yetu
 
bombu una hatari wewe! Ulienda kweli? lolz
 
Last edited by a moderator:
kweli wewe ni bombu huoni hiyo ni bahati kuona mmeo anakupenda na chengine kwanini uende kwa mtu usiemjua au na wewe ni wale wale..

Inawezekana kweli eeh! Sasa kwa mfano ingekuwa kweli mie ni wale wale angefanyaje? dah hiyo trial mie sikuipenda bwana, bora hata angemtumia mtu mwingine.
 
Mwanamke mwaminifu kwenye ndoa yake hawezi kufanya mawasiliano ya namna hii mpaka anaenda eneo la tukio.Kuna wasiwasi wa uaminifu wako kwenye ndoa yako bombu!
Bahati nzuri huyo mume wa bombu siyo mimi, Kama ni mimi Power angekuja eneo la tukio angefikia kipondo kikali sana ambacho asingekisahau maisha yake yote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…